Tushare game za android

Mimi nilikua addicted na subway surfers lakini sasa hivi linaniboa maana lina stack sana sijui kwanini.
Nimejaribu kuapdate lakini bado tatizo liko pale pale.

Game gan nzur nyingine unazo
 
Fighting tiger

Nime download game nyingi ila hii fighting tiger kibok aseeh graphics kali sana, vp huna nyingine kali unayoijua, maana nimejifungia na baridi hii
 
Nime download game nyingi ila hii fighting tiger kibok aseeh graphics kali sana, vp huna nyingine kali unayoijua, maana nimejifungia na baridi hii

Binamu hilo sijui nitaliweza?Ngoja nitalijaribu baadae.
 

Naona hii njia inakataa kwny gunship battle version 1.4.4...vp kuna njia nyngne kwa unrooted device
 
Nah, hilo ni game mkuu!

Mkuu me napenda sana gamez za kivita zlzo km gunship battle znazohusisha matmiz ya ndege au helcopters kam unazjua nzur nzur naomba uniorodheshee ili nizidownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…