Kwa wale wapenda racing games, sahau kuhusu Asphalt 8 Airborne, tafuta na ku'download Need For Speed: Most Wanted. Utaipenda, coz unlike A8: Airborne, NFS:MW ni realistic zaidi plus kuna zile Police car chases, Checkpoints racing, Speed Runs, Most Wanted yenyewe, n.k.
Na graphics zake ni kali zaidi ya zile za kwenye A8: Airborne.