Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
jaribu hitman sniper.Anhaa sawa mkuu ikiwezekana nisaidie the best sniper shoot game for android
jaribu hitman sniper.Anhaa sawa mkuu ikiwezekana nisaidie the best sniper shoot game for android
Ahsanteh mkuujaribu hitman sniper.
boot hio pc na os nyengine. unaweza ukatumia hata software ya minitool partition wizard ambayo ni bootable. eka hio software kwenye flash then boot pc na hio flash kisha chomeka hio externalAhsanteh mkuu
Ila nina nina hdd yangu aina ya Toshiba sasa nikiitumia kama external nikiichomeka kwenye PC ina detect na inawaka kitaa chekundu ila badala ya hapo Haionekani kwenye PC nikajua labda ina window nikaiweka kama internal nayo ikawa inaonyesha kama haijapigwa window ila kuna jamaa akaniambia hii imefichwa hivo haiwezekani tena ila ni nzima na ni ina hali nzuri maana haina uchakavu hii inaweza kuwa na tatizo gani sina PC ya kuiweka hapa kwa sasa ili nipige picha ila kwa uchache ni haya kwamba ina detect toshiba plugin ila sasa ukiingia uone file zake kule kwenye storage huikuti nikajaribu hdd nyingine inasoma na inaonekana labda nilijua pc ina tatizo kumbe ni hii hdd ila bado sijajua shida ni ipi kwa hili naomba msaada mkuu kama kuna njia jinsi ya kuifanya ionyeshe au ndo mwisho wa maisha yake hapa nifahamu.ahsanteh
Simtaalamu sana wa hili unalonieleza ila je unaweza nipa step hadi step ili nifanye hilo au naweza pata mtaalamu akanisaidia hiliboot hio pc na os nyengine. unaweza ukatumia hata software ya minitool partition wizard ambayo ni bootable. eka hio software kwenye flash then boot pc na hio flash kisha chomeka hio external
Simtaalamu sana wa hili unalonieleza ila je unaweza nipa step hadi step ili nifanye hilo au naweza pata mtaalamu akanisaidia hili
Anhaa ahsanteh mkuu napia unaweza nifafanulia tatizo lilikuwa ni lipi mpka ikawa hivi mkuuHow to build Boot CD/DVD Discs and Boot Flash Drive with Bootable Media Builder?
si ngumu ni kama unaeka windows tu kwenye flash step ni zile zile
Anhaa ahsanteh mkuu napia unaweza nifafanulia tatizo lilikuwa ni lipi mpka ikawa hivi mkuuHow to build Boot CD/DVD Discs and Boot Flash Drive with Bootable Media Builder?
si ngumu ni kama unaeka windows tu kwenye flash step ni zile zile
Mkuu cheza MC3 au MC4 sio sniper ni mission (FPS) ni tamu balaaAnhaa sawa mkuu ikiwezekana nisaidie the best sniper shoot game for android
Ni offline mkuu na pia ni mtu unamuona full sioMkuu cheza MC3 au MC4 sio sniper ni mission (FPS) ni tamu balaa
sifahamu mkuu ni tatizo gani mpaka imekuwa hivyo.Anhaa ahsanteh mkuu napia unaweza nifafanulia tatizo lilikuwa ni lipi mpka ikawa hivi mkuu
Sawa mkuu na hivi hizi highly compressed game ni website ipi yenye kuaminika kwa android game maana nyingi unakuta ukipakuwa hazichezi ipi unayoifahamu napoweza kupata game hii mc4 compressedsifahamu mkuu ni tatizo gani mpaka imekuwa hivyo.
Ni offline ila ni first person shooter mkuuNi offline mkuu na pia ni mtu unamuona full sio
Highly compressed wengi wazushi utashangaa unapelekwa kwenye survey zisizo na msingi. Uhakika ni revdl tuSawa mkuu na hivi hizi highly compressed game ni website ipi yenye kuaminika kwa android game maana nyingi unakuta ukipakuwa hazichezi ipi unayoifahamu napoweza kupata game hii mc4 compressed
Hili neno la first person shooter silielewagi lina maanisha nini kwenye gamesNi offline ila ni first person shooter mkuu
kama ni game la online hayo ni mambo ya kawaida.Nimehangaika kudownload sniper fury 2, apk mod na obb file yake ambayo ina kitu kama 980MB Halafu eti nainstall inaniambia ni update to latest version na ukienda playstore inaonekana iko latest. Imeniuma kweli mbs zangu
kama ulivyoshauriwa hapo juu.Ni offline ila ni first person shooter mkuu
Kaka graphics za ps1 kweli? Si bora hata ujiime kuna apk games nyingi tu za action ambazo ni HD? Mimi modern combat mpaka leo hunielezi kitu hua nacheza namalizia naanza tena. Hata hitman iko poakama ni game la online hayo ni mambo ya kawaida.
mimi sichezi games za android ambazo sio console port au sijazi emulate.
unaweza ukacheza game ya ps1 kwenye android uka enjoy kuliko hizo games za siku hizi zenye in app ourchase, matangazo na kila saa kuhitaji internet.
First-person shooter (FPS) is a video game genre centered around gun and other weapon-based combat in a first-person perspective; that is, the player experiences the action through the eyes of the protagonist.Hili neno la first person shooter silielewagi lina maanisha nini kwenye games