games za vipi unazopenda wewe?Sasa hivi nacheza psps game la Pes naombeni magemu mwengine mazuri yanayotumia psps kucheza
Game za mpira na action ila mpira ninalo bado action ndo nataka kwanza nijue zipi nzuri na jinsi ya kuzipata.games za vipi unazopenda wewe?
angalia hiziGame za mpira na action ila mpira ninalo bado action ndo nataka kwanza nijue zipi nzuri na jinsi ya kuzipata.
Dah asante sana boss ngoja niyacheki.angalia hizi
-GTA zote kuanzia vice city mpaka china town sema kwenye android gta pia zipo hivyo sio lazima ucheze za psp.
-kuna God of war wabongo wengi wanalipenda sana hili. nafkiri yapo mawili au matatu
-metal gear solid. portable ops. kama unapenda action na story nzuri hili ni bonge la game .
-pursuit force extreme justice.
emuparadise utapata iso zote.
God of War - Chains of Olympus (USA) ISO for PSP
mengine makubwa jiandae na kifurushi cha maana.
Hili game nimefika mission ya 12 sasa mc4 ni tamu sana graphics na story ko hakuna linaloendana na hili mkuu wangu kenye story nzuri na graphics nzuri piaangalia hizi
-GTA zote kuanzia vice city mpaka china town sema kwenye android gta pia zipo hivyo sio lazima ucheze za psp.
-kuna God of war wabongo wengi wanalipenda sana hili. nafkiri yapo mawili au matatu
-metal gear solid. portable ops. kama unapenda action na story nzuri hili ni bonge la game .
-pursuit force extreme justice.
emuparadise utapata iso zote.
God of War - Chains of Olympus (USA) ISO for PSP
mengine makubwa jiandae na kifurushi cha maana.
jaribu hayaHili game nimefika mission ya 12 sasa mc4 ni tamu sana graphics na story ko hakuna linaloendana na hili mkuu wangu kenye story nzuri na graphics nzuri pia
Si nlikwambia mkuu? Yaan hilo game lina console-quality graphics acha kabisaHili game nimefika mission ya 12 sasa mc4 ni tamu sana graphics na story ko hakuna linaloendana na hili mkuu wangu kenye story nzuri na graphics nzuri pia
Haha hatree sana nipo kile kipngere cha kumprotect Rais asee mission ya 12 nishamuokoa kwa terrorist ishu kumtoa kwnye ile airport yao hatareeSi nlikwambia mkuu? Yaan hilo game lina console-quality graphics acha kabisa
Sawa chief ntayatafuta aseejaribu haya
-call of duty strike team
Call of Duty Strike Team Mod APK Free Download
-nova 3
NOVA 3 Near Orbit Vanguard Alliance APK Free Download
-shadowgun
SHADOWGUN v1.6.3 Apk + Mod (a lot of money) + Data for android
Hatari sana mkuuHaha hatree sana nipo kile kipngere cha kumprotect Rais asee mission ya 12 nishamuokoa kwa terrorist ishu kumtoa kwnye ile airport yao hataree
Mkuu nimedownload hiyo COD strike team kila kitu nimekifanya sahihi tatizo ukifungua inaload kidogo then inatokea error ya unfortunately strike team has stopped...jaribu haya
-call of duty strike team
Call of Duty Strike Team Mod APK Free Download
-nova 3
NOVA 3 Near Orbit Vanguard Alliance APK Free Download
-shadowgun
SHADOWGUN v1.6.3 Apk + Mod (a lot of money) + Data for android
sina idea mkuu, labda utafute version/source nyengine.Mkuu nimedownload hiyo COD strike team kila kitu nimekifanya sahihi tatizo ukifungua inaload kidogo then inatokea error ya unfortunately strike team has stopped...
mkuu naomba link ya ku download ii kitu apaMkuu hii game mc4 inataka kila nikianza kulifunfua niwe na data li check file alafu ndo nizime data kuna namna ya ku solve hii kitu maana sioni maana ya kucheza offline kama sina data kabisa hivo sitoweza kucheza hii ikoje
View attachment 691579
View attachment 691580
Note; Ni step hiyo tu ila data nikiwasha hapo napita hiyo step fresh maana obb zote zipo
Chief-Mkwawa
Link ipo tayari juu mkuumkuu naomba link ya ku download ii kitu apa
mkuu nime download ku install ndo inanizingua naomba msaadaHebu test hii mkuu: Modern Combat 5 2.9.0k Mod Apk + Data Android