Tushare game za android

GTA sun andrea iko poa sana.

f95214f3ebae0f4bd60b93c8e820660c.jpg
00c6b5ee4bc7faf655dae3093c167d4f.jpg
 
Sniper 3D ni gem moja kali sana.. kwa unaye cheza umefika region yangap!? mim nipo region6
 
Sory members kwa kuingialia uzi huu, naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kublock simu iliyopotea aina ya samsung j7 prime
 
Mkuu hakuna namna ya ku cheat hii game coins na vitu vingine kwa kutumia njia ya profile.dat kama game ya dreamleague na nyingine kama inawezekana unaweza nisaidia link nifanye hiyo kitu maana nimehangaika na hizo mod zote hazitaki kwa simu yangu
games za online kucheat kwake ni ngumu sana tofauti na za offline.
 
kama unacheza offline tumia software kama gameguardian na kama ni la offline kuna haja gani kuwa na latest version?
Sijaelewa iko hili game nacheza ila ishu katika coins na zile silaha za kivita na gold ni ndogo hivo game linakuwa gumu maana kuna mission sipiti na natumia android six ambayo ku root simu si kazi ndogo na kila niki download mod apk kuwa installed zinagoma kila version na kila websites za kuaminika zinagoma sasa je hiyo gameguardian haitaki root access lengo ni pate zile gold,na silaha na coins
 
kama haikulazimishi na version mpya huwezi hack unatumia tu ya zamani. na game guardian mpaka uwe na root.

nimeona sehemu wanasema ukicheat version ya zamani halafu ukai update juu kwa juu bado cheat inabakia.
 
Anhaa sawa mkuu ikiwezekana nisaidie the best sniper shoot game for android
 
Back
Top Bottom