Tushare game za android

Wakuu mwenye link ya cracked modern air combat infinity naomben jaman maana game Kali tatzo ndege bei
 
Hans kama hili d day frontline commando nashndwa kwenda mbele coz nashndwa kununua baadh ya vtu nfanyaje wananpeleka playstore vtu vnauzwa kwa dollar nfanyaje
Si game zote zinachakachulika kwa njia hiyo. Zinazo chakachulika ni zile zenye inpurchase. Yaani kila kitu kipo ndani ya game husika mfano gold, doller nk.
 
Kwa wale wapenzi wa IGI 2 nimecheza game mpaka kwenye ile mission ya kule libya. nimefika natakiwa kuonana na yule mlinzi anipeleke kunakohusia.tatizo ni kuwa nikifika kwa mlinzi wala haniongozi,hafanyi jambo lolote zaidi ya kuwa yupo busy tu na mambo yake.. mliocheza hii game kwenye mission hii mlifanyaje? ni baada ya kuvuka boda.ilitakiwa huyu mlinzi aniongoze kuelekea sehemu flan na hakuna sseheme ya kum command ni uato kmama sikosei.
 
Kwa wale wapenzi wa IGI 2 nimecheza game mpaka kwenye ile mission ya kule libya. nimefika natakiwa kuonana na yule mlinzi anipeleke kunakohusia.tatizo ni kuwa nikifika kwa mlinzi wala haniongozi,hafanyi jambo lolote zaidi ya kuwa yupo busy tu na mambo yake.. mliocheza hii game kwenye mission hii mlifanyaje? ni baada ya kuvuka boda.ilitakiwa huyu mlinzi aniongoze kuelekea sehemu flan na hakuna sehem ya kum command ni auto kma sikosei.yaani inatakiwa nimsogelee then aanze kuniongoza nimfate
 
1mobile market....
Me nimeshajaribu kwa 1mobile unadownload hadi mwisho lakini at the end kwenye kuinstall huwezi!
Karibia paid app zote kwa 1mobile nilishindwa sijui kama ni simu yangu tu!
#passing error
 
Me nimeshajaribu kwa 1mobile unadownload hadi mwisho lakini at the end kwenye kuinstall huwezi!
Karibia paid app zote kwa 1mobile nilishindwa sijui kama ni simu yangu tu!
#passing error
Achana na hiyo ngosha sasa tumia website inaitwa play.mob.org ipo google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…