Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Una haki na mawazo yako, lakini kumbuka kuwa sikujitambulisha kama utakavyo wewe ieleweke, kwani hakuna mwana JF asiyejuwa kuwa FaizaFoxy ni CCM, ni Muislam, na asiyekubaliana hata moja na muasisi wa CCM, Nyerere. Naomba kumbuka hayo.
Mimi nime "declare interest". Sijuwi kama unaelewa maana yake?
Nnalia, nnalia, nnalia.
Samahani sana, nilisoma humu humu JF kuwa kabla ya kupita Waziri Mkuu walifukia hayo mashimo (temporarily it seems), aka "funika kombe mwanaharamu apite".
Isitoshe, hicho "kikaragosi" ukiwajibishe nini? hakina mamlaka yoyote zaidi ya kuziba pengo tu.
Kwa heshima na taadhima naomba ku "declare interest"; Mimi ni mwanachama hai wa CCM toka siku TANU na Afro Shirazi Party zilipounganishwa na kuwa chama kimoja cha kisiasa, kwa jina CCM.
Kusema kweli, sijui kwanini hivyo vyama vilivyounganishwa vikaja na jina CCM, Chama Cha Mapinduzi, sijui walipindua nini au jina hilo lilitokana na nini. Lakini, kama mwanachama mwema na mstahamilivu ilibidi nipokee na nikubali mapendekezo na mapendeleo ya "ndugu" zetu wakubwa kwenye chama walioamua na kuona jina hilo kwa chama ndiyo bora na zuri na linalofaa.
Baada ya hapo sijaona kilichopinduliwa na "Chama Cha Mapinduzi" kwa miaka kadhaa mpaka ujio wa Jakaya (Jee, mnajuwa maana ya "Jakaya"?).
Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete ndiye Rais wa pekee Tanzania hii kutokea CCM aliyedhihirisha na kunikinaisha kuwa "mapinduzi" yapo na yanawezekana. Hususan miaka takriban tisa (9) baada ya kushika hatamu ya utawala nilimsikia, kupitia TV, wakati akiongea na "wazee wa Dar" alipoongelea "sakata la Escrow", akisema kuwa, siasa ya "kutaifishana" (kwa uchache) tuliachana nayo. Hapo ndipo nilipohisi kuwa mapinduzi ndiyo hayo! na aliyediriki ni Kikwete.
Baada ya ku "declare interest"" naomba kwa heshima na taadhima kuomba yafuatayo yatimizwe:
1- Bodi ya CRB iwajibike na iachie ngazi haraka iwezekanavyo.
2. TANROADS - Mkurugenzi Mkuu na au Mwenyekiti wa TANROADS awajibike na kuwachia ngazi.
3. Waziri wa Uchukuzi na anaehusika na barabara zetu kubwa (sijui bado ni Magufuli au mwingine?) awajibike.
4. Waziri kivuli wa uchukuzi na anehusika na barabara zetu kubwa (simjuwi ni nani) nae awajibike.
5. Kamishna wa Polisi anaehusika na masuala ya magari na uendeshaji wa magari (Traffic) nae awajibike.
6. Mkuu wa Polisi Tanzania nae awajibike.
7. Waziri wa Mambo ya ndani Tanzania nae awajibike.
8. Waziri wa Ulinzi nae awajibike.
9. Wabnge wote wanaopita barabara ya ilipotokea uzembe wa kufikia mpaka kufa Watanzania 50 nao wawajibike.
10. Bodi ya TBS (Tanzania Boards of Standards) na wakurugenzi wake nao wawajibike.
11. Bodi ya Mamalaka ya mapato Tanzania (TRA) na Mkurugenzi wake nao wawajibile.
12. Na wengine wite wanaohusika na kutuletea msiba huo kwa namana moja au nyingine nao wawajibike.
Nawaomba Watanzania muelewe kuwa sisemi hayo kwa kukisia au kukurupuka. Nimeumia na nimeumizwa zaidi baada ya kusikia "ajali" iliyouwa Watanzania 50 na kujeruhi wengine walionusurika kifo imetokana na mashimo ya barabarani!
Nnauliza, hao wote niliowataja walikuwa wapi mpaka kunatokea mashimo barabara kuu kama hiyo? na au watendaji wao walikuwa wapi? toka kishimo kinaanza mpaka linakuwa shimo la kukwepwa? mpaka inafikia barabara kubwa kama hiyo ya "kimataifa" inakuwa na mashimo barabarani wote hao walikuwa wapi?
Tukumbushane kuwa barabara hiyo ni barabara inayoliingizia taifa hili kipato cha Kitaifa na Kimataifa. Kuna bidhaa zinazopita hapo za nchi jirani nyingi tu (sina haja ya kuzitaja) na kuna bidhaa zinazopita hapo za ndani ya nchi nyingi tu, pia sina haja ya kuzitaja.
Isitoshe, kuna pesa za MMC zilitoka kuhakikihsa barabara hiyo inakuwa nzuri. Pia kuna fedha za "From Cape to Cairo" zilitolewa ili barabara hiyo iwe nzuri na ya kiwango.
Kama hiyo haitoshi, basi hata wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, hawapiti barabara hiyo?
Na kama hiyo haitoshi, fedha zetu za "road toll" tunazokatwa kila tunaponunuwa mafuta ya magari na fedha zetu za "road license" nazo pia hazitoshi kuifanya barabara hiyo iwe kioo?
Tukumbushane pia, Tanzania hii kuna barabara kuu nne! moja ni hiyo, ya pili ni ya kati ianyokwenda Magharibi, ya tatu ni ile inayokwenda Kaskazini na ya nne ni ile ya kweda Kusini.
Jamani, barabara hizo ni uti wa mgongo wa Tanzania na zinapaswa kuwa hata na wafagijai masaa 24 x 7. Na si kuziwacha mpaka ziwe na mashimo ya kuuwa.
Kwa hili, ningesikia kuwa ni uzembe wa dereva au hitilafu ya gari, ningeelewa. Lakini kusikia kuwa ni uzembe wa kuwa na barabara mbovu? kubwa kama hii? hilo sitalielewa mpaka kufa kwangu.
Kwa hili, ikibidi hata kipenzi cha roho yangu Rais Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete kuwajibika basi uwajibike.
Hakuna ajali hapo, kuna uzembe wa hali ya juu!
Naomba kuwasilisha.
Na nnalia kwa vifo vya Watanzania wenzangu na wale wote wanaowalilia na nnasikitishwa zaidi kila nnapowafikiria wale waliokatizwa ndoto zao kwa kuondokewa na walio karibu nao.
Kama hayo hayajatekelezwa sitokusamehe Kikwete, na Mwenyeezi Mungu hatokusamehe na Watanzania hawatokusamahe.
Eeeh Allah nnakuomba nisameh kama nimekosea lakini nnalia, nnalia, nnalia.
Umeongea. Leo aanze Jakaya na Waziri mkuu kuwajibika. Jakaya amekunywa damu za Watanzania wengi kila pande wa nchi ni vilio. Ajali zimetawala. Jakaya amemaliza hata albino. Jakaya watoto wametekwa eti wanasomeshwa dini. Je hiyo njia wamepitia watoto wangapi? Wameishia wapi?
Jakaya sasa imetosha. Waachie jeshi hii nchi kwa huu muda wa mpito.
Jakaya imetosha.
Mara hii nakubsliana na wewe FF, na ajali kama hizi si tu zinaongezeka lakini kuna sense of complacency kwa serikali ya awamu ya nne.Kwa heshima na taadhima naomba ku "declare interest"; Mimi ni mwanachama hai wa CCM toka siku TANU na Afro Shirazi Party zilipounganishwa na kuwa chama kimoja cha kisiasa, kwa jina CCM.
Kusema kweli, sijui kwanini hivyo vyama vilivyounganishwa vikaja na jina CCM, Chama Cha Mapinduzi, sijui walipindua nini au jina hilo lilitokana na nini. Lakini, kama mwanachama mwema na mstahamilivu ilibidi nipokee na nikubali mapendekezo na mapendeleo ya "ndugu" zetu wakubwa kwenye chama walioamua na kuona jina hilo kwa chama ndiyo bora na zuri na linalofaa.
Baada ya hapo sijaona kilichopinduliwa na "Chama Cha Mapinduzi" kwa miaka kadhaa mpaka ujio wa Jakaya (Jee, mnajuwa maana ya "Jakaya"?).
Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete ndiye Rais wa pekee Tanzania hii kutokea CCM aliyedhihirisha na kunikinaisha kuwa "mapinduzi" yapo na yanawezekana. Hususan miaka takriban tisa (9) baada ya kushika hatamu ya utawala nilimsikia, kupitia TV, wakati akiongea na "wazee wa Dar" alipoongelea "sakata la Escrow", akisema kuwa, siasa ya "kutaifishana" (kwa uchache) tuliachana nayo. Hapo ndipo nilipohisi kuwa mapinduzi ndiyo hayo! na aliyediriki ni Kikwete.
Baada ya ku "declare interest"" naomba kwa heshima na taadhima kuomba yafuatayo yatimizwe:
1- Bodi ya CRB iwajibike na iachie ngazi haraka iwezekanavyo.
2. TANROADS - Mkurugenzi Mkuu na au Mwenyekiti wa TANROADS awajibike na kuwachia ngazi.
3. Waziri wa Uchukuzi na anaehusika na barabara zetu kubwa (sijui bado ni Magufuli au mwingine?) awajibike.
4. Waziri kivuli wa uchukuzi na anehusika na barabara zetu kubwa (simjuwi ni nani) nae awajibike.
5. Kamishna wa Polisi anaehusika na masuala ya magari na uendeshaji wa magari (Traffic) nae awajibike.
6. Mkuu wa Polisi Tanzania nae awajibike.
7. Waziri wa Mambo ya ndani Tanzania nae awajibike.
8. Waziri wa Ulinzi nae awajibike.
9. Wabnge wote wanaopita barabara ya ilipotokea uzembe wa kufikia mpaka kufa Watanzania 50 nao wawajibike.
10. Bodi ya TBS (Tanzania Boards of Standards) na wakurugenzi wake nao wawajibike.
11. Bodi ya Mamalaka ya mapato Tanzania (TRA) na Mkurugenzi wake nao wawajibile.
12. Na wengine wite wanaohusika na kutuletea msiba huo kwa namana moja au nyingine nao wawajibike.
Nawaomba Watanzania muelewe kuwa sisemi hayo kwa kukisia au kukurupuka. Nimeumia na nimeumizwa zaidi baada ya kusikia "ajali" iliyouwa Watanzania 50 na kujeruhi wengine walionusurika kifo imetokana na mashimo ya barabarani!
Nnauliza, hao wote niliowataja walikuwa wapi mpaka kunatokea mashimo barabara kuu kama hiyo? na au watendaji wao walikuwa wapi? toka kishimo kinaanza mpaka linakuwa shimo la kukwepwa? mpaka inafikia barabara kubwa kama hiyo ya "kimataifa" inakuwa na mashimo barabarani wote hao walikuwa wapi?
Tukumbushane kuwa barabara hiyo ni barabara inayoliingizia taifa hili kipato cha Kitaifa na Kimataifa. Kuna bidhaa zinazopita hapo za nchi jirani nyingi tu (sina haja ya kuzitaja) na kuna bidhaa zinazopita hapo za ndani ya nchi nyingi tu, pia sina haja ya kuzitaja.
Isitoshe, kuna pesa za MCC zilitoka kuhakikihsa barabara hiyo inakuwa nzuri. Pia kuna fedha za "From Cape to Cairo" zilitolewa ili barabara hiyo iwe nzuri na ya kiwango.
Kama hiyo haitoshi, basi hata wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, hawapiti barabara hiyo?
Na kama hiyo haitoshi, fedha zetu za "road toll" tunazokatwa kila tunaponunuwa mafuta ya magari na fedha zetu za "road license" nazo pia hazitoshi kuifanya barabara hiyo iwe kioo?
Tukumbushane pia, Tanzania hii kuna barabara kuu nne! moja ni hiyo, ya pili ni ya kati ianyokwenda Magharibi, ya tatu ni ile inayokwenda Kaskazini na ya nne ni ile ya kweda Kusini.
Jamani, barabara hizo ni uti wa mgongo wa Tanzania na zinapaswa kuwa hata na wafagijai masaa 24 x 7. Na si kuziwacha mpaka ziwe na mashimo ya kuuwa.
Kwa hili, ningesikia kuwa ni uzembe wa dereva au hitilafu ya gari, ningeelewa. Lakini kusikia kuwa ni uzembe wa kuwa na barabara mbovu? kubwa kama hii? hilo sitalielewa mpaka kufa kwangu.
Kwa hili, ikibidi hata kipenzi cha roho yangu Rais Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete kuwajibika basi uwajibike.
Hakuna ajali hapo, kuna uzembe wa hali ya juu!
Naomba kuwasilisha.
Na nnalia kwa vifo vya Watanzania wenzangu na wale wote wanaowalilia na nnasikitishwa zaidi kila nnapowafikiria wale waliokatizwa ndoto zao kwa kuondokewa na walio karibu nao.
Kama hayo hayajatekelezwa sitokusamehe Kikwete, na Mwenyeezi Mungu hatokusamehe na Watanzania hawatokusamahe.
Eeeh Allah nnakuomba nisameh kama nimekosea lakini nnalia, nnalia, nnalia.
Samahani sana, nilisoma humu humu JF kuwa kabla ya kupita Waziri Mkuu walifukia hayo mashimo (temporarily it seems), aka "funika kombe mwanaharamu apite".
Isitoshe, hicho "kikaragosi" ukiwajibishe nini? hakina mamlaka yoyote zaidi ya kuziba pengo tu.
We mama leo umekuwa mtamu....... kiukweli PM ni kama kikaragosi wala hana ubavu wowote... Yaan hii CCM ni ya kuangalia mauaji ya Raia siku kwa njia ya barabarani bila kuchukua Dar
Hhahahahahaa hii I'd imekuwa hacked I swear FaizaFoxy kama ni wewe kuna kitu kimekupata
Haya mambo yakisemwa na upinzani wanaonekana wanapiga domo.nashukuru kwa kuliona hilo.
O
Kontena hazifungwi kwenye magari
uzembe unaanzia bandarini
barabara hazina viwango
magari hasa ya abiria yanachakachuliwa ndani
gari imetengenezwa ibebe abiria 60 inabeba 80
watu wanabanana na kufa bila sababu kwa vyuma vya ovyo vilivyo ongezwa kutengeneza viti extra
barabara zina mitaro pembeni...ujenzi huu upo Tanzania tu....
Hakuna rekodi za ajali wala madereva hatari
mtu anaua asubuhi jioni yuko kwenye gari ingine