JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Kwangu Mimi aliye kamatwa na ngozi ndiye mla nyama! Kila mtu anasema hawa ni dagaa basi wewe tutajie huyo papa ni nani?Kuna mbunge wa Kinondoni alitajwa sana kwenye mapapa wa unga , Polisi wakasema eti yeye yuko klini. Leo mnamfuata zezeta Chid Benz, mnawaacha waingizaji mnsdili na waathirika, very funny