Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 823
- 2,007
Hapa niko high asf sielewi shem langu nisamehe tu hii week aiseeewπShem wangu kabisa. Ww sio wa hivi vihela vidogo vidogo.
πππ. Ww nafas yako kwangu ni kuuubwa sana .Najua unahitaj Kitimoto moja matata sana na TZee .
weekend ndio sawia kwako. ππππ
Kidoti cha wanja ba mkaliπHahahha kaa kwa kutulia π
Asante mdogo,, naomba nikupe lipa namba kesho za kuzimua.Sema wallah.
Una wadogo wengi JF.
Mm ngoja nilipe zile Likes unazo nipa kwa Safar 2. Tuma Lipa namba πππ. Mpesa.
Upo wapi? Mwenyewe nayumba hatari hapaπToto la kisukuma na kidoti chako , mjini hapa , leo nipo bar nakichafua mbaya π
Ila shem kule uliponipeleka nimeshapakinai. πππ maneno maneno mengi sana. Wako serious sana . AaaghKidoti cha wanaja ba mkaliπ
Malaya wale achana nao? Mwenyewe unajua siko level hizo shem wangu!Ila shem kule uliponipeleka nimeshapakinai. πππ maneno maneno mengi sana. Wako serious sana . Aaagh
Juzi nilipewa maneno ya baraka na ahsante na Mama yangu, Hadi nikataka kulia, mm n ngumu kutoa chozi but juzi ilibaki kidogo nilie, ikabidi nimwambie mama basi nikakata simu...Pesa inaleta Uhuru wa machaguo.Mno , mim mama yangu ni bibi kwa wengine hapa 78 , ila leo nimemtumia mili 5 ya achana na bia za kila sku ana oda yangu , ila mpaka kanichumuπ
Haina mbaya.Asante mdogo,, naomba nikupe lipa namba kesho za kuzimua.
Asante sana
Hivi shem Mimi na my maβ kama wote tuko millenials inakuwaje?Haina mbaya.
Ila nadhan nadhan we almost the same age.
Mm ni late 1980's. Millennial
Okay shem. Mm nafuata maelekezo yako. M humble.ππππMalaya wale achana nao? Mwenyewe unajua siko level hizo shem wangu!
Napenda sana how u are humbled my shem! Nakupendea hapo tu!Okay shem. Mm nafuata maelekezo yako. M humble.ππππ
Pombe mzee, we elewa tu!Hapo sijaelewa connection ya
1. pesa
2. Kulewa
3. Kuongea na mama na kukupa baraka.
Mie nahisi hata nivuke huku kwenye u elfu kumionea, u lakionea, niwe milionea kabisa, bado mama yangu nikijichanganya atanipa makavu live.
Wow!!!!! Tuunde chama letu tu Haina namnaHaina mbaya.
Ila nadhan nadhan we almost the same age.
Mm ni late 1980's. Millennial
Kama ataweza kunipa idea ya biashara niwekeze Bila mtaji wowote na faida iwe ya chap kwa haraka, bc kweli atakuwa mentor wangu wa nguvu mnoMentor wangu chai ya rangi njoo uongee kwa niaba. Ww role model wetu mm na Mbaga Jr ππππ
Kama ataweza kunipa idea ya biashara niwekeze Bila mtaji wowote na faida iwe ya chap kwa haraka, bc kweli atakuwa mentor wangu wa nguvu mno
UTakiwi kubishana na mlevi , labda kama na wewe umelewa.Kwamba mama yako anakupa attention kisa una pesa?
Kipindi anakuzaa huwezi hata kujigeuza, huna chochote zaidi ya makamasi tu, alikufanyia kila kitu na jicho lake muda wote lilikua kwako leo hii ndo unamuwazia hivyo.