Likiwa na makret mangapi ya Safari lager?Mama min kesho namzawadia gari jipya , nitalipost hapa gademitt
Sema wallah.Akipatikana mdogo wangu humu akaniongezea safari nne nitafurahi sana.
Mpesa yangu inapokea elfu moja mpaka million kumi
Shem namimiπ«£Sema wallah.
Una wadogo wengi JF.
Mm ngoja nilipe zile Likes unazo nipa kwa Safar 2. Tuma Lipa namba πππ. Mpesa.
Noo kipenzi , hii ni motivation ya kimtindo
Nataka ford minπNa lile jicho lako la kichokoziπ kidoti wewe
Kweli uko vyombo. Una hapa na kakingereza eti Yeah. Na huku umenitupia kaNice...!Yeah ni mimi
Pesa tamu, pesa ndio heshima yenyeweLeo nimelewa nampigia b mkubwa kilevi levi , anacheka cheka tu , nakunipa maneno ya baraka za kutosha .
Hakuna mwanamke atakupa attention bila pesa wewe kijana mpumbavu π π
Nakubaliana na wewe 100% kuna wenzetu ni wanawekana hadi unawaonea huruma, sijui kama wanapata tena ladha ya kipapa.Bro amini kwamba. Wako wanaorudishia mwili shukran kwa Mafame.
Wanapenda chini balaa.
Bia hawatumii kabisa. Ila Idadi ya Vifuniko vya asali wanavyofungua ni sawa tu na sisi tunavyofungua vya bia. πππ
Lakana nawo mbe,Meku , wana watutu kabsa π
Em tuoneNooo , leo nawaka kweli π π
Haya itikia hela itikia hela mwanaume jipigepige kifua halafu itikia helaKabisa Bwashee, leo b mkubwa wangu kanisifia , na mimi nimeona nijivunie yeye π
Naitaka minHahaha ya shambni ujueπ
Shem wangu kabisa. Ww sio wa hivi vihela vidogo vidogo.Shem namimiπ«£
Nyoko eehπKidotiiiπ