Tusaidieni kuwapa majina ya MAPACHA hawa!

Tusaidieni kuwapa majina ya MAPACHA hawa!

Dini gani?

Gabriel na Gabriella

Raheem na Rahima

Kazi kwako mkuu!
 
Nshomile siku zote hupenda majina ya kijerumani, nashauri waitwe..
Floring&Flora or Englbertus&Englberta
 
twins-babies.jpg

cute twins
 
Hope una dini tafuta majina ya kwenye biblia...
Kaa na ndugu familia mfanye uteuzi wa majina yenye maana nzuri
 
Dah! Nimepata majina meeeengi mpaka raha! Hapa full kazi ya kutafuta maana ya majina ninayoona mazuri! Mbarikiwe wapendwa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cornel v/s Cornella

Gabriel Gabriella,

Valleri Valleria Vallerio

Florian Floriana

Leonard Leonarda.

Kazi kwako
 
Back
Top Bottom