Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 863
- 1,003
Mimi pamoja na Rafiki yangu tunatafuta nafasi kulingana na taaluma ama nje ya taalum ili maisha kidogo yawe nafuu.
Binafsi, mimi hapa nina mwaka mmoja toka nimalize Chuo. Nimesomea Community Economic Development, level ya Degree Location yangu kwa sasa nipo kigoma, ila Kilimanjaro napatikana.
Rafiki yangu, amemaliza Masomo mwaka huu, fresh graduate , amesomea MARKERTING AND ENTREPRENEURSHIP, level ya Degree
Kwa sasa anapatikana KILIMANJARO, MOSHI.
0628849189 msaada wakuu.