GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,029
- 126,474
hizo ni gpa za SAUT mkuu hazina ubora ila kazi utapata japo vumulia sana.
Ukome SAUT Wa Mwisho Huwa Na GPA Ya 3.5 Hutaki JINYONGE Uwapunguzie UKAWA Kura Yao October 25, 2015.
hizo ni gpa za SAUT mkuu hazina ubora ila kazi utapata japo vumulia sana.
Achen Uongo, Gpa Za Udsm Siku Hz Hazna Maana, Kitu SUA, DIT, IFM
Acha uongo wewe. Ndo alichostahili.
Mimi Udsm mbona nina 4.2 undergraduate
kufundisha chuo unatakiwa kuwa na GPA ya kuanzia 3.8 mkuuu
Samahani Ni 2.4 au Ni 4.2? Napatwa Na Wasiwasi Kidooooooogo!
SAUT Kwetu Hiyo Ni Failure Tena Ya KUTUKUKA Kabisa. Kumbe Watu Kumbe Mna GPA Za KUSIKITISHA Hivi? Acheni WAKENYA, WAGANDA Na WANYARWANDA Waje Wachukue AJIRA Zetu Na Sisi Watanzania Tubaki Tu Ktk Kupigana MAJUNGU, Kufanyiana FITNA Na Kurogana Kwa Kutoana MISHIPA.
Hujui kwamba sauti wanasoma vilaza ?? Au unajitoa akili most of them waliangukia pua advance
GPA 2.7,unaweza kuajiliwa kokote.
Hiyo GPA ndo ufauru wa kati aiseee.sema usilegeze kamba maana unatakiwa na gpa 3 kuendelea ndo unakuwa ktka mazingira mazuri zaidi
Wengi wanaoenda hicho Chuo hukosa nafasi udsm,Udom Mzumbe na Sua wengi ni makapi ya division three za mwisho
Wewe utakua umesoma saut , mawazo yako yako kimgando mgando tu kama akili yako ilivyo widen your brainNa Kuwa Mwanachama Wa CHADEMA/UKAWA Nako Unatakiwa Uwe Na GPA Ya Ngapi? Kwani Nasikia Mwenyekiti Wao Mbowe Na Sumaye Kwa Pamoja GPA Zao Ukizichanganya Unapata 1.3.