Tusaidiane: Mwenye GPA 2.7

Tusaidiane: Mwenye GPA 2.7

Wasiwasi gani, nimekuandikia 4.2, wewe unalazimisha 2.4. Nini tatizo lako???

Tatizo Langu Ni Kwamba Kwa Aina Ya UPOPOMA ULIOTUKUKA Ulionao Huwezi Ukawa Na GPA Ya 4.2 ILA Ya 2.4 Nitakukubalia.
 
Tatizo Langu Ni Kwamba Kwa Aina Ya UPOPOMA ULIOTUKUKA Ulionao Huwezi Ukawa Na GPA Ya 4.2 ILA Ya 2.4 Nitakukubalia.

We si mzima aisee, kama wewe ilikushinda ni wewe sio wengine, akili yako ni p.u.m.b.a tu.
Msaidie aliyeanziasha mada, achana na mimi,
 
mbona mnalialia, kwan ninyi mna gpa za ngap? hahaaaaa
 
hata GPA ya 2.0 kazi unapata popote unategemea tu umejipangaje/nani anakujua hii ndio Tanzania ya ccm
 
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa...
Hapana .... tulimaliza chuo na jamaa mmoja mwenye GPA 2.2 ... guest what--alikuwa wa kwanza kupata scholarship na Master's degree (tena ya chuo chenye jina USA)
 
Mnakifahamu mnachoongea lakini?
Au ndo mmetoka vyuoni majuzi?
 
hizo ni gpa za SAUT mkuu hazina ubora ila kazi utapata japo vumulia sana.
Acha uongo wako bwana muziki wa SAUT halafu useme degree zake hazina ubora, we una elimu gani na umesoma chuo gani, acha zarau zisizo kuwa na tija
 
Hapana .... tulimaliza chuo na jamaa mmoja mwenye GPA 2.2 ... guest what--alikuwa wa kwanza kupata scholarship na Master's degree (tena ya chuo chenye jina USA)

mkuu unatudanganya kwa gpa hyo kupata scholarship bila kuwa na working experience yakutosha huwez pata
 
Back
Top Bottom