bombu
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,127
- 544
Inategemea aliyetangaza kazi anahitaji mwenye GPA ya ngapi? Au kuna wengine hawahitaji mambo ya GPA, bali uwezo wako wa kiutendaji na watakupima kwa Interview ingawa GPA ni kipimo kizuri kuwa hata kama hauna uzoefu, itakuwa ni rahisi kufundishika ukiwa kazini.