EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Mwenye zamu ya kucheza ni CCM au ACT? Na kete zinaelekea wapi?
Tujue kwanza hilo draft style yake ni France ya kula mbele na nyuma ama lile letu la huku uswahilini mbele tupu.. na ni nani mwenye zamu ya kucheza mwenye kijani ama rangi rangi...
Ila bila shaka ni zamu ya rangi rangi
Ngoma Draw
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Mkuu hapo hakina CDM ni ACT NA CCMHapo chadema akicheza tu Kate yake analiwa na ccm , yani anaweza Lisa yeye plus act..,ila act ana option mbili hata akiliwa moja bado ana kete nyingine na anaweza akacheza kete yake asiliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CCM ana KING (POLICCM) DROW HAKUNABasi dude linaisha kwa DRAW hakuna mshindi hapo
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MrutoKijani ina King.. ambalo linakula vibaya
Kama yupo vizuri kwa kete tatu (karata tatu) fresh, ushindi anapata la sivyo hii amedoda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CCM ana KING (POLICCM) DROW HAKUNA
Sent using Jamii Forums mobile app
ACT ndiye anayechezaMwenye zamu ya kucheza ni CCM au ACT? Na kete zinaelekea wapi?