Tusaidiane Hapa LINDI

Tusaidiane Hapa LINDI

Duh Lindi nisehemu kavu sana kwa starehe hapo lazima uwe na mtu wa hapo akupigie pasi za mwisho vinginevyo utakufa na kiu napajua vizuri sana.
Du boss najaribu kucheck roman hata hazisomi
 
Du boss najaribu kucheck roman hata hazisomi

Napajua hapo chief mimi nilienda hapo nikakaa kama mwezi ivi ukiwa na mwenyeji utaonyeshwa matundu kibao tu na utatamani usiondoke ila tofauti na hapo jiandae kisaikolojia.
 
Aisee kuna bar hapo karibu na polisi...nenda karibu na kituo cha polisi, sema lindi nao washamba kiasi.
 
Mkuu Niko vizuri sana. Nataka mabinti sio mama za watu
uliza "Kilwa Pub" kuna mchemsho safi sana mengine utajua kutokea hapo.
Ila uzinzi sio mzuri ndugu yangu especially kama umeacha familia home.
 
uliza "Kilwa Pub" kuna mchemsho safi sana mengine utajua kutokea hapo.
Ila uzinzi sio mzuri ndugu yangu especially kama umeacha familia home.
Naelekea huko ntatoa mrejesho kwa manufaa ya wengine watakaokuja huku
 
Naelekea huko ntatoa mrejesho kwa manufaa ya wengine watakaokuja huku

Hapo Kilwa pub ni zaidi ya jau ni katundu flani ivi watu wanakaa kwa nje karibu na road kama vipi jaribu kule ufukweni kuna bar kama 2 ivi ijumaa zinatoa dili.
 
Guys ukame wa huku balaa kweli Dar babalao
 
Ndo naamka wakuu mtoto niliyempata kiboko yao nafwaa, kilichonishtua zaidi mtoto alivojua mm sio Mwislamu alipata kigugumizi sijui alijua ntamwoa...asanteni Lindi tukutane Maeda Bar [emoji809] uwanja wa taïfa kesho
 
Kwa maisha yalivyo magumu badala uwaze namna ya kuongeza kipato chako unakaa unawaza sehemu ya kujimwaga tena ukiangalia kesho bado ni siku ya kazi.

Daah we ni noma aisee

Yakiwa magumu kwako sio magumu kwa wote.
Na sio wote wana ratiba kama yako.
 
Back
Top Bottom