Turufu ya CHADEMA Arumeru Mashariki

Jamani nataka kuuliza.. Kwa nini siku hizi siasa zimekuwa Uhai wa vyama mnasahau maisha magumu kwa wananchi iwe ndio changamoto kwenu vijana. yaani kila unaposoma, kila mada ni Chaema hivi CCM na CUF vile lini tutarudi ktk kuzungumzia matatizo ya wananchi na wapi nchi yetu inaelekea?.. Basi hata iwe Tanzania Uitakayo wewe lakini haya ya Chadema vs CUF au CCM ni ushabiki wa mpira na haufai kabisa ktk jukwaa hili... Tubadilike wakuu zangu tubadilike tutazame maswala yanayotugusa sisi ili vyama hivi vipate kututumikia na sio sisi kuvitumikia vyama.
 
weka ya kwako ambayo sio ..........hasira za nini mkuu?shusha analysis inayoeleweka kwani kwa upeo wangu mdogo hiki ndicho nilichokiona.

Kutaka mtu kama huyo kuweka yake ni sawa na kumwambia maana asiyejua maana. Ukweli unabaki pale pale waelewa hawawezi kuichagua ccm, hivyo basi suala zima ni je, Arumeru ni waelewa au la?
 
uteuzi wa kijana sioi sumari unamaanisha mambo mawili.moja ni kuvuta vijana wa ccm na baadhi ya vijana wa upinzani.pili inaelekea upole wa kijana huyu utaendelea kuvuta wazee wa kimeru.tuendelee na mjadala...
 
uteuzi wa kijana sioi sumari unamaanisha mambo mawili.moja ni kuvuta vijana wa ccm na baadhi ya vijana wa upinzani.pili inaelekea upole wa kijana huyu utaendelea kuvuta wazee wa kimeru.tuendelee na mjadala...

kama wanarithishana ubunge tunaweza kujadili hilo, mambo ya upole, ukijana, utanashati sijui utawavutia vijana, sijui wazee wa ccm kwani hatimaye hao wananchi watahamia kwa huyo haoi, hapo wananchi wanajipanga kupewa rushwa na lowasa.
wanajua "angalau kwa sasa" chadema hawako tayari kuhonga kwani wanaamini nguvu ya umma ndiyo mambo yote. ccm ni hatari kuliko shetani! chunguzeni mtabaini.
 
CCM HAWAISHIWAGI NA MIZENGWE, WATALIANZISHA TU. Wakikwama kila kona watawatengenezea kesi za vurugu wanachadema. We subiri, hata hivyo, safari ni mbele kwa mbele.
 
CHADEMA wasiache turufu yao maarufu...KANISA..
kiuicha hiyo ni kujimaliza kabisa! kanisa limefanya kazi kubwa kukijenga chama hiki.
 
Back
Top Bottom