Turudi Kwenye Central Admission System (CAS) ya TCU

Brother, kama umeambiwa uchague kozi tano, ukachagua unazotaka wewe ukaipata ya mwisho hapo unalalamikaje? kama ulkuwa huitaki si hauichagui bro? System ilkuwa inataka kujaza maximum kozi tano, me nilijaza tatu tu, why nijaze tano wkt sizihitaji!!! na nkapata ya kwanza!!! so kupata kozi ya mwisho wkt ww mwenyewe uliiweka unalaumuje system?
Zilikua zinagoma kujaza chache huwezi amini me nimejaza kozi mbili tu tena hapo nyingi ingekua kipindi cha kujaza koz zote hizo ningechaguliwa kozi ya kimama.
 
Exactly mm niljaza 4 nikapata mojawapo saafi unatembelea account unakuta selected had raha
 
Matamko ya kisiasa yanapopiku utaalamu matokeo yake ni kuleta ghasia.

Mfalme wetu mtukufu ameshatamka matamko mengi sana yenye utata mfano kupuuza uzazi wa mpango, kuumiza mashangazi, kuitukana KATIBA na maneno mengi sana yanayoleta ukakasi.

Mfumo wa CENTRAL ADMISSION SYSTEM ulifutwa kisiasa siasa kutokana na matamko ya kisiasa ya mfalme wetu mtukufu.

Na wale jamaa wa TCU wakaingia chaka kwa kumuogopa mtukufu mfalme.
 
Heko
 
Zilikua zinagoma kujaza chache huwezi amini me nimejaza kozi mbili tu tena hapo nyingi ingekua kipindi cha kujaza koz zote hizo ningechaguliwa kozi ya kimama.
Nakumbuka ilkuwa minimum 3 na maximum 5, sasa why ww useme kuna kujaza 8? hiyo si kweli
 
Hakuna haja ya kurudi huko kinachotakiwa kufanyika ni vyuo viajiri wataalamu wa kusimamia website zao ziweze kuendana na hali ya teknolojia iliyopo
 
Kuna Vyuo havina hao wataalam unawaowasema? Hapa turudi tu kwenye CAS tutaenda vyema.
Tunaheshimu Mawazo yako though
 
Back
Top Bottom