Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 268
Kaka asante sana kwa majibu yako, siyo mgeni wa bits and bytes, ila sina knowledge yoyote na namna ambavyo zinaweza ku-interact na hardaware, nashukuru kwa kunifahamisha.
Sasa kulingana na majibu yako,are you saying "is impossible" au ni "difficult" kutengeneza virtual (NOT PYHSICAL) storage blocks, kwa ajili ya kuhifadhi data in as much as a phsysical storage block does, which is which? Na kama unasema kwamba si vigumu bali ni impossible, unaweza ukawa-convince watu kwa research gani iliyofanyika ikahakikisha hivyo? Kwa nini hudhani kwamba current knowledge on the issue is either hidden or does not yet provide for that possibility kwa sababu pre-requisites za technology hiyo kuweza kuwa invoked kwa mda huu bado hazijaweza kuwa fully explored?
Kaka, huwezi ukaconclude kwamba watu hawataweza kabisa kwenda mwezini simply kwa wakati huo hakuna chombo kinachoweza kwenda mwezini. Inaweza ikaja ikafika wakati kukawa na possibility ya watu kwenda mwezini tena bila hata ya kuhitaji chombo sophisticated kama vile ulivyokuwa unadhani.
Mwisho, Kaka, una-recommendations gani kwa ulimwenugu kuhusu hili swala iwapo kuna watu wanalifanyia kazi au utafiti, unawashauri nini? Wa-abandon utafiti wao?
Ningekushauri ukubali kuwa hili swala ni gumu ila laweza kuwa linawezekana, na si kwamba haliwezekani kabisa, mpaka pale utafiti utakapo-prove otherwise. Just take H-note as "the case is possible". Otherwise kwa mlengo wako hatuwezi tena kufanya utafiti tutakuwa tunaendelea ku-conclude maswali yote yaliyoko mbele yetu kwa kutumia existing knowledge, ambapo ni makosa kwa sababu bado haijaweza kujibu kila swali lililopo hapa duniani.
I think hii ni technobongo...!!!!!
Kwa aliyesoma issue za electronics anajua kuwa ktk minute level its all about moving electrons and manipulating them. Sasa kama electrons zipo limited where do you get unlimited? Hicho ndicho alichojaribu kuelezea ingawa alielezea katika level ya hardware. Haiwezekani kwa mwanadamu mwenye limited mind kufanya KITU CHOCHOTE AMBACHO NI UNLIMITED.
In short no Unlimited exists in ability and realm of humans, period! :yo:
Uphssss......!, kama ulivyoniomba nitoe msimamo wangu kuhusu kitu alichokizungumza notifeki ni kwamba haiwezekani totaly kitu anachokizungumza kutendeka ama yeye kukitenda. Na ninasema haiwezekani kwa maana kwamba basic principles za physics na electronics yake kwa ujumla vinapingana na kitu anachozungumzia notifeki kwani yeye amebase kwenye modification ya part mojawapo ya kifaa na si kuunda kifaa kiujumla. HDD zilizopo sasa hazikubaliani na kitu alichokizungumza na kudai yeye amekifanya juu ya hizi HDD.
Kwa upande wa pili, umezungumzia ishu ya mbeleni kuwa na unlimited storage, yawezekana ikatokea ikawa kweli lakini tukubaliane kwamba structure ya hardwares zitakazokuwapo wakati huo hazitahuwa hizi zilizopo sasa, so itakuwa ni new invention totaly na si kufanya modification katika vifaa vilivyopo sasa.
Kaka asante sana kwa majibu yako, siyo mgeni wa bits and bytes, ila sina knowledge yoyote na namna ambavyo zinaweza ku-interact na hardaware, nashukuru kwa kunifahamisha.
Sasa kulingana na majibu yako,are you saying "is impossible" au ni "difficult" kutengeneza virtual (NOT PYHSICAL) storage blocks, kwa ajili ya kuhifadhi data in as much as a phsysical storage block does, which is which? Na kama unasema kwamba si vigumu bali ni impossible, unaweza ukawa-convince watu kwa research gani iliyofanyika ikahakikisha hivyo? Kwa nini hudhani kwamba current knowledge on the issue is either hidden or does not yet provide for that possibility kwa sababu pre-requisites za technology hiyo kuweza kuwa invoked kwa mda huu bado hazijaweza kuwa fully explored?
Kaka, huwezi ukaconclude kwamba watu hawataweza kabisa kwenda mwezini simply kwa wakati huo hakuna chombo kinachoweza kwenda mwezini. Inaweza ikaja ikafika wakati kukawa na possibility ya watu kwenda mwezini tena bila hata ya kuhitaji chombo sophisticated kama vile ulivyokuwa unadhani.
Mwisho, Kaka, una-recommendations gani kwa ulimwenugu kuhusu hili swala iwapo kuna watu wanalifanyia kazi au utafiti, unawashauri nini? Wa-abandon utafiti wao?
Ningekushauri ukubali kuwa hili swala ni gumu ila laweza kuwa linawezekana, na si kwamba haliwezekani kabisa, mpaka pale utafiti utakapo-prove otherwise. Just take H-note as "the case is possible". Otherwise kwa mlengo wako hatuwezi tena kufanya utafiti tutakuwa tunaendelea ku-conclude maswali yote yaliyoko mbele yetu kwa kutumia existing knowledge, ambapo ni makosa kwa sababu bado haijaweza kujibu kila swali lililopo hapa duniani.
Uphssss......!, kama ulivyoniomba nitoe msimamo wangu kuhusu kitu alichokizungumza notifeki ni kwamba haiwezekani totaly kitu anachokizungumza kutendeka ama yeye kukitenda. Na ninasema haiwezekani kwa maana kwamba basic principles za physics na electronics yake kwa ujumla vinapingana na kitu anachozungumzia notifeki kwani yeye amebase kwenye modification ya part mojawapo ya kifaa na si kuunda kifaa kiujumla. HDD zilizopo sasa hazikubaliani na kitu alichokizungumza na kudai yeye amekifanya juu ya hizi HDD.
Kwa upande wa pili, umezungumzia ishu ya mbeleni kuwa na unlimited storage, yawezekana ikatokea ikawa kweli lakini tukubaliane kwamba structure ya hardwares zitakazokuwapo wakati huo hazitahuwa hizi zilizopo sasa, so itakuwa ni new invention totaly na si kufanya modification katika vifaa vilivyopo sasa.
Kitu unachokitegemea kutokea hakiwezekani totaly kwa science iliyopo sasa. Kwa kitu unachokizungumzia kutokea ni kwamba science iliyopo sasa na princple zake inabidi vibadilike totaly na kuwe na science nyingine. Reason kubwa ni kama alivyosema CTO.
Science simply means knowledge. Kwa hiyo kitu chochote ambacho kinafahamika kiko kilivyo ni sayansi. Operational science ambayo unaisema ni sehemu ndogo tu ya sayansi. Falsafa ni sehemu ya sayansi ingawa kuna falsafa iliyo zaidi ya sayansi (kama metaphysics).CTO;
Umetumia falsafa zaidi kuelezea kuliko sayansi halisi, naweza kuhisi kisahihi unachojaribu kueleza hapa, lakini siwezi kusema kuwa naelewa sawasawa.
Naam! Mwanadamu hana jinsi ya kuongeza wala kupunguza chochote katika dunia hii at minutiae level. Yaani kila maada imeundwa na proton, electron na neutron. Unaweza kuzihamisha kwa namna mbalimbali ila idadi yake itabaki kuwa ileile: Limited. Kama jumla ya electrons katika ulimwengu wote ni 1500 basi huwezi kuongeza wala kupunguza ingawa unaweza zihamisha toka katika maji mfano, kwenda katika anga (ni mfano tu!)Unasema kuwa electrons ziko limited na hakuna namna ambayo unaweza ukazifanya zikawa unlimited?
In time/space/matter all is limited! There are no unlimits unless they are out of this dimension!By the way, katika sayari hii tunamoishi, what is not limited?
You're very right!Looks to me like everything is limited, isn't it?
Yeah, his finitude! Man is finite that is why he has limit. Only infinite knows no limits!Lakini pamoja na hayo do you know where the limit of man's mind lies?
We know that our limit in this life is death. That is why no one bothers to solve this "problem" using science. That is the limit as far as time/space/matter is concerned. But there is more beyond the realm of time/space/matter where the laws are different and game is different though is decided here on earth...let me not go there. Those I discuss usually in personal level to the interested!Hatujui ndiyo maana tuko kwenye "the road to wisdom" ambayo hatujui inaishia wapi.
Very right. Drinking sweet white liquid seems right until you know the fluid is poison!Wakati mwingine hata mtu aki-argue kuwa akili ya mwanadamu haina limit unaweza ukajikuta unakuwa tempted kumkubalia, kama usipokuwa mwangalifu sana.
Kifupi ni hivi, electronics is at heart the manipulation of flow of current to produce desired effect (electromagnetism in Cars rotor/stator alternator, RF radios, or Transistors and diodes in your laptop power supply or any other effect). Even storage devices depends on charging/discharging principle or electromagnetic (which depends on current which is actually manipulated flow of electrons).Lakini cha msingi zaidi hapa napenda ufafanue kwa lugha rahisi kile ambacho ulimaanisha, sina kitu chochote kabisa kichwani ukianza kuongelea issues za applied electronics!
Science simply means knowledge. Kwa hiyo kitu chochote ambacho kinafahamika kiko kilivyo ni sayansi. Operational science ambayo unaisema ni sehemu ndogo tu ya sayansi. Falsafa ni sehemu ya sayansi ingawa kuna falsafa iliyo zaidi ya sayansi (kama metaphysics).
Twende taratibu utanielewa tu!
Naam! Mwanadamu hana jinsi ya kuongeza wala kupunguza chochote katika dunia hii at minutiae level. Yaani kila maada imeundwa na proton, electron na neutron. Unaweza kuzihamisha kwa namna mbalimbali ila idadi yake itabaki kuwa ileile: Limited. Kama jumla ya electrons katika ulimwengu wote ni 1500 basi huwezi kuongeza wala kupunguza ingawa unaweza zihamisha toka katika maji mfano, kwenda katika anga (ni mfano tu!)
In time/space/matter all is limited! There are no unlimits unless they are out of this dimension!
You're very right!
Yeah, his finitude! Man is finite that is why he has limit. Only infinite knows no limits!
We know that our limit in this life is death. That is why no one bothers to solve this "problem" using science. That is the limit as far as time/space/matter is concerned. But there is more beyond the realm of time/space/matter where the laws are different and game is different though is decided here on earth...let me not go there. Those I discuss usually in personal level to the interested!
Very right. Drinking sweet white liquid seems right until you know the fluid is poison!
Kifupi ni hivi, electronics is at heart the manipulation of flow of current to produce desired effect (electromagnetism in Cars rotor/stator alternator, RF radios, or Transistors and diodes in your laptop power supply or any other effect). Even storage devices depends on charging/discharging principle or electromagnetic (which depends on current which is actually manipulated flow of electrons).
So if you break down things to the foundation, it is all about manipulation of electrons to produce desired effect. So if the whole game involves electrons (whether in storage device atoms or the manipulated flow of them in circuit) AND they are limited in number and effect, then it follows that there can never be unlimited anything that is product of electrons nor their effect.
The only thing you can achieve is very big storage, but finite in the sense of the word. The issue the brilliant scientist does is not wasting time to trying achieve the impossible but make big storage with as minimal size as possible.
Hope that is simpler!
BH
No, am just being realistic. All I have said are plain truths.You are too Platonic, which is good anyway.
Thank you!However, I like your approach of discussing things!
are we diving now in realm of speculations?Now, assuming we exclude death, something which obviously, everyone knows that is the limit of man's mind due to the fact that soul, mind and body become separated! !
Here we get into depths of metaphysics. The mind exists but invisible and cannot be measured by any five senses and so it is a new issue altogether. I will not go in detail to avoid changing the thread subject. However, I will say that the fact that any mind can reach a point of not understanding one thing or another, it means it have limit. Its so complicated issue that it will hijack threadIn the contrary therefore, where is the limit of man's mind? Yaani kwa maana nyingine ni kwamba wakati ambao binadamu anaendelea kuishi hajafa bado, where is his mind's limit?
I see what you mean. But there is false assumption on your side. Where assumes we are in the realm of space/matter which we are not. In metaphysics we are talking of another dimension. So where in a place that have no wheres is meaningless term!The issue that man has a limited mind is an obvious phenomenon, now the saga is, where does this limit of man's mind lie?. If the question "where" cannot have a clear answer here, then the assertion that such and such is impossible, is actually a fallacy statement and therefore we can only claim such and such's imposibility with respect to a particular time frame, and not infinetely.
Since you premise is flawed, what should I comment of your conclusion?So we may conclude that notifeki's idea is impossibble today, and perhaps tomorrow or the day after, but not forever!
If they are unknown how can you argue anything about unknowns? Won't it be speculations?Both the possibility and impossibility of his idea in the realm of the forevers are unknown, because the limit of man's mind is unknown. Something which is known is that only today is notifeki's idea impossible. Sawa ndugu yangu?
You don't need to exhaust all kind poisons to know the basic truth that if it is poison it kills! You do not need to do that!After all, we have not exhausted the available capacity of these fundamental particles in the universe, let alone in our solar system to the extent that we may go into the possibility of running short of them.
You are temptation is right one but I do not pretend to know the rest you are talking aboutAbove all, I'm tempted to claim that we may be the only living creatures in our solar system, and perhaps in the universe, and if that is the case, you know the rest of it!
That nails it.However, it should be noted that I'm not trying to argue in ignorance of the law of conservation of matter/energy.
CTO;No, am just being realistic. All I have said are plain truths.
If that is what is to be platonic then I agree 🙂
Thank you!
are we diving now in realm of speculations?
Here we get into depths of metaphysics. The mind exists but invisible and cannot be measured by any five senses and so it is a new issue altogether. I will not go in detail to avoid changing the thread subject. However, I will say that the fact that any mind can reach a point of not understanding one thing or another, it means it have limit. Its so complicated issue that it will hijack thread
I see what you mean. But there is false assumption on your side. Where assumes we are in the realm of space/matter which we are not. In metaphysics we are talking of another dimension. So where in a place that have no wheres is meaningless term!
Since you premise is flawed, what should I comment of your conclusion?
If they are unknown how can you argue anything about unknowns? Won't it be speculations?
You don't need to exhaust all kind poisons to know the basic truth that if it is poison it kills! You do not need to do that!
Some principles are so fundamental and, well, you cannot argue against them.
You are temptation is right one but I do not pretend to know the rest you are talking about
That nails it.
I would like to avoid going into metaphysics in this thread as we are really diverting from the actual discussion. Let me point weakness in your question. When you say where you are inferring a place that is space and when you say what you are inferring matter-like, material thing that one can show. You are forgetting that we are in another dimension where the terms means different thing. The first rule to dealing with anything is establishing authority. In this realm of metaphysics, we cannot be authority ourselves.CTO;
Where is the limit of mind, or was I wrong to pose my question in this manner? Was I, may be to use the word "what" instead? You will excuse me, English is my fourth or fifth, so I would better turn into swahili.
Akili ya mwanadamu inaweza kufanya kitu gani kwa ujuzi wake wa hali ya juu kabisa, na ambacho ikishakifanya, haiwezi tena kufanya kitu kingine kitakachozidi pale? Yaani kwamba ikifanya hicho kitu, ndiyo inakuwa imefikia limit, haiwezi tena kufanya kitu kingine zaidi ya hicho? Je kinajulikana? Na kama hakijulikani, tunaweza kusema kwamba akili hii ina limit?
Yaani kwa maana nyingine ni kwamba mwisho wa uwezo wa akili ya mwanadamu, ni kitu gani na si kwamba ni wapi
Neno nililotumia mwanzoni kukuuliza "where" nilifanya makosa kwa sababu lilikuwa lina refer to a point in a space-time dimension, kitu ambacho kimekuwa rahisi sana kwako ku-evade swali la msingi. I know you knew my question had to be as I have rephrased it now. Tafadhali lete shule mzee tuendelee!
I would like to avoid going into metaphysics in this thread as we are really diverting from the actual discussion. Let me point weakness in your question. When you say where you are inferring a place that is space and when you say what you are inferring matter-like, material thing that one can show. You are forgetting that we are in another dimension where the terms means different thing. The first rule to dealing with anything is establishing authority. In this realm of metaphysics, we cannot be authority ourselves.
I will see if I have enough time to write a piece.CTO;
Toa hata kwenye metapysics nisikie kidogo. Unajua huko ndiyo kuzuri zaidi kwa sababu huhitaji spacecraft za NASA kuiona universe nzima ilivyo au a simple pendulum ku-measure the value of g. Assuming unao muda wa kujadili, toa kidogo ndugu yangu tusikie, ila kuhusiana na hii topic tuliyonayo hapa.