Tupunguze stress la lissu🤔

Tupunguze stress la lissu🤔

Wallahi Mkuu huyu jamaa ni mwamba sana 😂 na huwa namheshimu sana .
Hahaha endelea tu , kumheshimu wanaongea ukweli huwa wanaheshimika mda wote hata kama watachelewa kuongea ukweli 😜
 
Hahaha endelea tu , kumheshimu wanaongea ukweli huwa wanaheshimika mda wote hata kama watachelewa kuongea ukweli 😜
Huwezi kunielewa Mkuu, lakini hivi punde Inshallah nitakuja na jambo zito kama kesi ya Lissu na huyo mwamba ndio alikuwa source 🤣
 
Back
Top Bottom