Fanya mpango familia yake ipate hizo m28 mkuuHabari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.
So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Alikuwa anamficha mkewe kwa hiyo yeye hana hasara.Fanya mpango familia yake ipate hizo m28 mkuu
Siri siyo nzuri kwenye mambo muhimu kama hayoAlikuwa anamficha mkewe kwa hiyo yeye hana hasara.
Umenena vyema vyema,Siri hiyo mpe nduguye,watskushukuru sana,nawe Mungu atakutendea vyema sana!Habari wana JF.
Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia yake hakuna mwenye taarifa hizo zaidi yake. Tugapipiga story pale na kushauriana mambo mengi ikiwa pia inatakiwa kuweka wazi baadhi ya mambo muhimu Kwa familia. Sasa juzi suddenly mshikaji kapata ajari na tumesha mpoteza(kafariki). Niliwaza vitu vingi Sana hivyo nimeleta hii thread hapa ili tujifunze kitu bank wananufaika na pesa na sio mke au watoto.
So the moral of this story is Let's not keep important family matters a secret. Imagine umejenga hakuna uliye mshirikisha, una pesa bank hakuna uliyemshirikisha, una MTOTO njee hakuna uliyemshirikisha, unabiashara hakuna uliyemshirikisha ukipotea suddenly it's worthless. TUPUNGUZE AU KUACHA KABISA SIRI kwenye mambo ya FAMILIA.
Habari wana JF.

Wazo wazuri, unatakiwa uwe na msiri wako hata mmoja kama si mke wako, atakayejua hizo taarifa.
Kama mke au mume anazingua lazima uwe msiri. Kungekuwa na kuaminiana basi watu wasingukuwa usiri wowote hivyo ukiona kuna usiri kwenye mambo ya pesa basi ujue mwanandoa mmoja anazingua.Siri siyo nzuri kwenye mambo muhimu kama hayo
Wengine Wana negative energy ukimwambia kila kitu kinaishia haooHabari wana JF.