Tupo pamoja kamandaTuko pamoja Mwenyekiti. Mimi ni wa huko Rombo, na pamoja na kwamba niko mbali, ni muhimu niandike ili mjue tunawaunga mkono.
Baadhi ya mapolisi ni wa kusikitikia sana. Wanafanya wasiyopenda kwa kushinikizwa na wezi na wanyanganyi wanaotutawala.
Chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakupewa nchi itakuwaje?
policeccm ni tatizo !
Chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakipewa nchi itakuwaje?
aiseee baba yangu mngetualika na sisi wanachama 2 cdf hapa mengwe
Chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakupewa nchi itakuwaje?
Chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakupewa nchi itakuwaje?
Hata ccm habari zao ni ufisadi tuu sijawai sikia maendeleo ya dhati ( Ukanjanja ukanjanja )Chadema habari zao ni kuhusu wachagga tu, sijawahi kusikia wazaramo wakitajwa
kama wewe ulivyokuwa janga LA kitaifa kwa kucomment kishabiki.pole sana.
Hata Mungu amekubali chadema tuongoze nchiKwani CCM ni nani na wananchi ni kina nani!
Unaweza kusema kuwa wananchi ndio watanzania na watanzania ndio hao hao wanachi.
Ni sawa kabisa ukisema ccm ni watanzania lakini HAIWEZEKANI KABISA KUSEMA WATANZANIA NI WANA CCM
conclusion: Ni sawa wananchi wachukue vilivyo vyao, Rombo hongereni.
chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakipewa nchi itakuwaje?
Chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakupewa nchi itakuwaje?