gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
na ndivyo itakavyokuwa kwenye viwanja vyote vya michezo walivyojipa
umesikia matokeo ya Sumbawanga yaliyorudiwa?Chadema habari zao ni kuhusu wachagga tu, sijawahi kusikia wazaramo wakitajwa
Chadema ni janga zaidi ya ufikiriavyo. Hapo ni kijiji tu, je wakupewa nchi itakuwaje?
Acha upumbavu boya wewe