Tupinge malipo ya rada kama tulivyopinga dowans(richimondi)

Tupinge malipo ya rada kama tulivyopinga dowans(richimondi)

hapo ndugu hatuna chakuongeza ila kweli kanchi ketu kanatia aibu kubwa sana lakini ndio hayo tutaendelea kuyasikia maana hata wanasheria wetu ndio hivyo hawajui hata walichosomea wanapelekwa pelekwa utazani elimu zao ni za kudesa, fatom, simbi etc. hatuwezi fika kama hata wasomi wanatugeuka kila mmoja katika taaluma yake asimamie uchumi wa nchi yetu may be tunaweza fika.
 
swali kwako ongwari, kwanini unafikiria serikali inapata wakati mgumu sana kumdai pesa zetu za ukweli vithlani ??
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kuangalia, kufikiri na kuchambua mambo,1>Hukuhitajika kukopi mlolongo mzima wa mada hapo juu ndo uulize hilo swali lako, ni kutujazia forum bila sababu2>Ogwari sio mtoa mada hii, ye ame-copy and paste makala ya bwana LULA WA NDALI, gazeti la Raia mwema la tarehe 29/06/11, sasa unapomuuliza yeye maswali unakua hueleweki
 
Dar MPs tour UK to wrest BAE’s $50m out of charities


uganda.jpg


The East African

3 July 2011

Tanzanian has sent a delegation to London to lobby against the decision by British Aerospace Defence Systems (BAE) to pay a £30 million ($50 million) settlement to charity and not into state coffers The delegation, which includes Foreign Affairs Minister Bernard Membe, four legislators and lawyers will argue that it is wrong to pay the money — accrued from a corruption case involving BAE Systems — to British charity organisations operating in the country. Already, BAE Systems has formed an advisory board on Tanzania which will be chaired by Lord Cairns and Philippa Foster Back, OBE, who will serve as deputy chair. Additional independent members will be appointed to the board, with the agreement of the chair and deputy chair.

Zito Kabwe, chairperson of the Public Corporations Accounts, told The EastAfrican from Dodoma last week that opposition parties are against the British government’s decision to give the money to charity organisation operating in the country. They are also against the decision to pay the money to the government of Tanzania. Mr Kabwe, who is also Shadow Minister for Finance, said the money should be paid to parliament, which will then decide on how it should be used by a local non governmental organisation. According to Mr Kabwe, giving the money to the government is tantamount to condoning another corruption case. “Opposition parties will table the issue this Monday (July 4) during the Ministry of Good Governance in the President’s Office budget session. We will give the government the opposition parties’ stand on the issue,” he said.

Already, the Tanzania delegation has met the top management of BAE Systems, British parliamentarians and senior government officials to voice their opposition. Others in the delegation who are still lobbying in London include Deputy Speaker Job Yustino Ndugai, Kongwa MP Mussa Hassan Zungu, Ilala MP (CCM) Angella Jasmine Kairuki and John Momose Cheyo, Bariadi East MP (United Democratic Party).

Mr Membe last week said the British government’s refusal to pay the money to the government would amount to a “humiliation of the republic.” He said the government was determined to get the money, hinting they would consider more serious steps, including rejecting it if the UK insisted on bypassing them, as well as de-registering UK charities operating in the country. “Tanzania may be poor, but it should refuse to accept payment from BAE Systems through charity organisations,” he said, adding that accepting the conditionality would amount to admitting that the government was involved in the corrupt deal.

On June 17, BAE Systems Plc announced the formation of an advisory board on Tanzania. The company will be represented on the board by four senior executives: Philip Bramwell (group general counsel), Linda Hudson (president and CEO of BAE Systems), Charlotte Lambkin (group communications director) and Lawrence Prior (executive vice president of service sectors, BAE Systems), who will act as the executive liaison member.

Leonie Foster, communications manager, financial public relations of BAE Systems told The East African from London last week that BAE has made sustained efforts to be recognised as a leader in responsible business conduct. Ms Foster said the formation of the board is part of this process and is in line with the settlement agreement with the Serious Fraud Office, approved by the court last December. “As part of the settlement, BAE agreed to pay the sum of £29.5 million for the benefit of the people of Tanzania. The company is now holding the sum as a fund in a treasury account and will confirm with the fraud office that the payments made are consistent with the settlement agreement,” she said.

Ms Foster added that BAE management met the Tanzania delegation in the UK, adding that once the board has been fully formed, further work will be undertaken to look at the best ways to distribute the funds to any identified organisation. “Though we won’t be commenting on every meeting the advisory board takes, we can confirm that the company recently met the Tanzanian MPs visiting the UK,” she said.

Independent members of the Advisory Board will guide the Company on the optimum means of applying the $48m (£29.5m) for the benefit of Tanzanias, in accordance with all applicable company polices. In addition to disbursements from the fund, the company is willing to explore various opportunities to enhance its overall contribution. It is ready to utilise its advanced technological capabilities to maximise the effectiveness of the projects supported by the fund.

The East African: *- Business*|Dar MPs tour UK to wrest BAE
 
Opposition: Create an account for BAE fund

By Frank Kimboy

The Citizen Reporter

The Opposition camp has asked Parliament to create a bank account that will be used to deposit Sh75.2 billion that BAE Systems is supposed to refund Tanzania over the controversial Radar purchase in 1999. The call was made by the shadow minister in the President's Office Public Services Management, Mrs Suzan Lymo, here yesterday when she was presenting the opposition camp's recommendations on the ministry's budget speech.

Ms Lyimo said the account should be supervised by representatives from non-governmental organisations in Tanzania, representatives from the private sector and the government.Parliament should also, according to Ms Lyimo, deliberate on how and in which priority areas the money should be used. "Parliament should also give the Controller and Auditor General (CAG) the authority to scrutinise the account," she added.

"The opposition camp, on behalf of millions of Tanzanians whom we represent, is opposing the proposal that the money be given to the government because we don't have faith in it… the money was lost while it was under the government's hands… it didn't do anything during the proceedings of the case, why do they need the money now?" she posed. Ms Lyimo added that those who were involved in the purchase of the radar should also be brought before a court of law to face charges of causing the government a loss worth billions of shillings. She said the opposition camp was aware that the parliament has planned to set aside time to discuss the Radar money refund saga later in the budget session, but she said since they were debating good governance the opposition couldn't shun from discussing the issue.

A British court ruled that Sh75.2 billion should be paid to "the Tanzanian people" after it was established that the government was made to pay more than what the machine was supposed to cost. However, BAE Systems has been insisting that the money should be paid to British NGOs working in the country.The Opposition also expressed their disapproval of BAE system's recommendations. "The opposition camp is against the BAE system intentions to pay the money through British NGOs which operate in the country because we see that as harassment to Tanzanian tax payers, we have the ability to supervise our own matters," she said.

Opposition: Create an account for BAE fund
 
Finally the opposition camp has answered the call. This was supposed to be done earlier to support the move by good samaritans.Anyway, learning is a process but we don't expect to have an open end.
something is better than nothing,and better late than never
 
Kutokana na hali ya mambo inavyokwenda huku rushwa kubwa na ya aibu kimataifa imegeuzwa jina na kuitwa "chenji" ya rada! Serikali inatumia kila mbinu kuhakikisha huruma ya mwingereza kwa watz (chenji) inarudi mifukoni mwao badala ya kwenda kwenye asasi za kirai!Nionavyo mimi, wanaharakati na wazalendo wa nchi hii tutume wa wakilishi wetu waende pale Uk wakaongee na Media zote, hii itasaidia kuhakikisha serikali hii mufilisi haipati chenji hiyo na mwisho ziwafikie watz kupitia mashirika yaliyotapakaa kila kona tz hii!Nawasilisha tu wana jf!!
 
Kambi ya Upinzani imeungana na Serikali ya Uingereza ya kutotaka chenji ya rada irejeshwe serikalini na badala yake kupendekeza ianzishwe akaunti ya Fedha za Rada. Msemaji wa Kambi ya upinzani kwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Susan Lyimo, alisema
"Serikali yetu haiaminiki, kwani fedha hizo zilipotea mikononi mwa Serikali hii na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na kuwawajibisha wahusika wa upotevu huu." "Na hata wakati kesi hiyo ikiwa mahakamani, Serikali yetu haikuomba kuunganishwa kwenye kesi hiyo, ila leo wako mstari wa mbele kudai fedha".

Kambi hiyo imeshauri kuanzishwe kwa akaunti ya muda itakayosimamiwa kwa pamoja na wawakilishi wa asasi zisizo za Serikali (NGO) za nchini, wa sekta binafsi na mwakilishi wa Serikali huku ikiitaka BAE ilipe fedha hizo haraka.
 
Kutokana na hali ya mambo inavyokwenda huku rushwa kubwa na ya aibu kimataifa imegeuzwa jina na kuitwa "chenji" ya rada! Serikali inatumia kila mbinu kuhakikisha huruma ya mwingereza kwa watz (chenji) inarudi mifukoni mwao badala ya kwenda kwenye asasi za kirai!Nionavyo mimi, wanaharakati na wazalendo wa nchi hii tutume wa wakilishi wetu waende pale Uk wakaongee na Media zote, hii itasaidia kuhakikisha serikali hii mufilisi haipati chenji hiyo na mwisho ziwafikie watz kupitia mashirika yaliyotapakaa kila kona tz hii!Nawasilisha tu wana jf!!
Imekaa vizuri mkuu na ni ajabu sana kwa mtu kama Mh. Membe kushupalikia jambo ambalo wameshindwa kuwashughulikia wahusika wakuu ambao wanajulukana wazi kua ndio wahusika wakuu ati rushwa ya wezi wa Tz wameibaini Waingereza the mh.Membe anataka kukomaa hyo pesa irudishwe kwa njia wanazojua wao,gvt mue na aibu kwa hili jambo
 
Imekaa vizuri mkuu na ni ajabu sana kwa mtu kama Mh. Membe kushupalikia jambo ambalo wameshindwa kuwashughulikia wahusika wakuu ambao wanajulukana wazi kua ndio wahusika wakuu ati rushwa ya wezi wa Tz wameibaini Waingereza the mh.Membe anataka kukomaa hyo pesa irudishwe kwa njia wanazojua wao,gvt mue na aibu kwa hili jambo

Ni aibu kubwa sana kwa Serikali.

Mimi naunga mkono pesa hizo ziwekwe kwenye account maalum ya Chenji ya Rada, na zitumike kwa idhini maalum ya Wawakilishi wa wananchi bungeni na matumizi hayo yawe transparent.

Isije ikawekwa na kuwa kama account ya EPA.

Aibu kwa TZ na aibu kwa waTZ
 
Kuna kitu najiuliza na sijaipata fresh kuhusu suala hili hili, ni kwamba kama chenji ikirudishwa ina maana rada nayo inarudishwa kule ilikotoka ama?
 
Miss Judith hapa tunazungumzia dhamira ya serekali dhidi ya ufisadi huu haikuwa ya dhati sasa kwa nini wanazitaka hizo pesa wakati walikuwa wagumu kuchukua hatua dhidi ya watuhumiwa
 
[h=3]Upinzani wataka Chenge abanwe kwa rada [/h]

Na Grace Michael, Dodoma
Majira

KAMBI ya Upinzani Bungeni, imeitaka Serikali kuwachukulia hatua za kinidhamu na kisheria kwa kuwafikisha mahakamani haraka iwezekanavyo waliohusika na
ununuzi wa rada akiwemo Mwanasheria Mkuu wa serikali wa kipindi hicho.

Mbali na hilo, Kambi hiyo ilipinga fedha za rada kulipwa kupitia serikalini kwa kuwa serikali haiaminiki na hasa ikizingatiwa kuwa fedha hizo zilipotelea mikononi mwa serikali yenyewe.

Ingawa haikumtaja jina, aliyekuwa Mwanasharia Mkuu wa Serikali wakati huo ni Bw. Andrew Chenge ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Bariadi Magharibi.

Mapendekezo hayo yalitolewa bungeni jana na Msemaji wa Kambi ya Upinzani, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Sazan Lyimo wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo ya mwaka 2011/2012.

"Kambi ya upinzani tunaona kuwa bila watuhumiwa hawa kuchukuliwa hatua, ni dhahiri kuwa taifa haliwezi kuwa na uhakika wa kuzilinda vizuri fedha hizo za rada pindi zikilipwa pamoja na fedha zingine za umma ambazo zinaendelea
kupotea kwa kuwa umekuwa ni utamaduni wa serikali kutochukua hatua,” alisema B. Lyimo.

Aidha walipinga nia ya Kampuni ya BAE ya kutaka kulipa fedha hizo kupitia Asasi zisizo za kiserikali za Uingereza kwa kuwa hatua hiyo itakuwa ni udhalilishaji mkubwa kwa Watanzania wote kwamba hawana uwezo wa kuamua na kusimamia mambo yake.

“Tunataka Bunge lako tukufu lijadili na liazimie kuanzishwa kwa akaunti ya muda ya fedha za rada, itakayosimamiwa kwa pamoja na wawakilishi wa Asasi zisizo za kiserikali za Tanzania, wawakilishi wa sekta binafsi na mwakilishi wa serikali na tunataka fedha hizi zilipwe haraka iwezekanavyo kupitia akaunti hiyo,” alisema Bi. Lyimo.

Kambi hiyo pia iliomba bunge lichukue wajibu wa kujadili na kuamua kipaumbele cha matumizi ya fedha hizo chini ya usimamizi wa akaunti hiyo kwa kuzingatia zaidi maslahi ya wengi kadri fedha hizo zitakavyoonekana kutosha.

Aidha azimio hilo limpe mamlaka Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kukagua matumizi ya fedha hizo kama anavyofanya kwa fedha nyingine za umma.

Fedha zinazotakiwa kulipwa na BAE ni takribani sh. bilioni 75.2 za Tanzania ambazo kampuni hiyo, iliamriwa kuzilipa baada ya kubaini kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na taratibu katika ununuzi wa rada hiyo.

Akizungumzia suala la matumizi mabaya ya fedha za umma, Bi. Lyimo alisema kuwa kutokana na kitendo cha serikali kulipa mishahara kwa wafanyakazi hewa na kusababisha kupoteza kiasi cha sh. bilioni 26.6, aliomba ufanyike uchunguzi wa kina na wahusika wote waliofanikisha wizi huo wachukuliwe hatua haraka.

Kambi hiyo, pia iliitaka serikali kujieleza kwa nini ilitumia mabilioni ya fedha za walipa kodi kujenga nyumba za kuishi watumishi wa serikali na baadaye kuziuza.

“Wakati nyumba hizi zikiuzwa, baadhi ya mawaziri wanakaa hotelini huku gharama ya siku ikiwa ni sh. 500,000 hadi 600,000, ina maana kiongozi mmoja aliyekaa hotelini tangua aapishwe atakuwa ametumia sh. milioni 110.2, je, serikali imechukua hatua gani dhidi ya viongozi waliouza nyumba hizo?” alihoji Bi. Lyimo.

Kambi hiyo pia ilizungumzia taasisi za wake wa marais ambapo ilisema kuwa uanzishwaji wa taasisi hizo unaleta picha mbaya kuwa zinaanzishwa kwa maslahi binafsi zaidi kuliko kusaidia jamii.

Alisema kuwa ipo haja kwa serikali kuandaa utaratibu rasmi wa kuwa na taasisi moja tu yenye nguvu itakayoongozwa na mke au mume wa rais aliye madarakani kama mlezi na kupokewa na wake au waume wa marais wajao, na hii itaondoa picha mbaya ya kila mmoja kujianzishia taasisi au mfuko wake.
 
nakumbuka ile ngo ya mama mkapa EOTF katika ngo zilizokula pesa ya nchi hii ni hii NGO, sasa hivi inamiliki hisa katika maampuni makubwa hapa tz ile fi full UFISAD,
 
Hivi huwa zinasimamiwa na nani vile baada ya wazee wao kustaafu? kwani naona tu kina "LAMADA" zikistawi
 
Hatua dhidi ya wote zichukuliwe haraka na sio kubembeleza change
 
Kuna kitu najiuliza na sijaipata fresh kuhusu suala hili hili, ni kwamba kama chenji ikirudishwa ina maana rada nayo inarudishwa kule ilikotoka ama?
Rada tutaachiwa ingawa inadaiwa kuwa rada hiyo ni mbovu!!
 
Finally the opposition camp has answered the call. This was supposed to be done earlier to support the move by good samaritans.Anyway, learning is a process but we don't expect to have an open end.
something is better than nothing,and better late than never

Hivi kama serikali ikipewa hizo change wakati suala bado linasubiriwa kujadiliwa bungeni, unafikiri serikali itasubiri bunge lipange matumizi ya hizo fedha?
 
My question is was this lobbying trip necessary for the Minister and his entourage? The trip looks to me like a paid vacation by the TZ taxpayer. Couldn't this issue have been dealt with over video conferencing? Why the unnecessary expenditure? It costs tons of money to fly an entourage to london especially if all the expenses are paid for by the TZ taxpayer from a country considered one of the poorest. This lobbying trip does not make any sense to me, especially when the TZ gvt. has done absolutely nothing concerning the culprits involved in the BAE bribery issue.
 
Back
Top Bottom