Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Duh 😩Kwanza hakuna mpish hapo minyanya na mitunguu mingi sio upishi
Mwisho kumbe ile ID ya mwalichuwi kumbe yako pia

Aah wapiMwachiluwi akiona huu uzi ataacha hata kufatilia tamthilia yake pendwa
PENZI LA BOSS NA DADA WA KAZI
Sotojo limekolea nazi sio poaAah wapi
Mwingine upo kwenye kiroba😁😂😂Lee huu unga utatoboa kwenye lockdown?View attachment 3513050
Samahani mkuu, nitakuwa nina wenge la 9D. Ni Mwachiluwi.😂🤣🤣🤣 dah umenikosea sana malichuwi
Next time weka simba mbili na paprika utakula mpaka vidole
Ahahahahha daaah enjoy maishaDah acha tu ngoja nitulie kusoma vitabu
Ngoja niende kimya kimyaSamahani mkuu, nitakuwa nina wenge la 9D. Ni Mwachiluwi.😂
Sasa kimbilia Pm ya mpishi wa wali samaki ukajipatie msaidizi.
Hi guys,.hope mko poa
Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze
Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni tutaanza kupika samaki,. Kwenye sufuria yako utaanza kuweka mafuta kidogo,. vitunguu hoho na carrot kama nlivyofanya Mimi hapo
View attachment 3512757
Ukishavikaanga vikiiva vizuri utaweka nyanya na chumvi kiasi then utaendelea kukaangaView attachment 3513023
Nyanya zikishaiva utaweka tomato paste kiasi utaendelea kupika dakika chache then utamweka samaki wako ambae ulishamtengeneza vizuri View attachment 3513024
Taratibu utamsambazia viungo,. Akishashikana na viungo vizuri utaongezea nazo yako ambayo ulishaichuja vizuri,.. utakoroga taratibu taratibu ili Nazi isijikate View attachment 3513026
Utaacha Kwa mda kidogo na mchuzi wako utakua tayari kama hiviView attachment 3513027
Hapo sasa unaweza ukaonja kama nilivyofanya Mimi hapo,. Na samaki wangu alikuwa sooooo tasty View attachment 3513029
Unaweza ukaserve na chochote,. Wali ugali au ndizi ila Mimi nilisave na wali wangu ambao mpaka namaliza kupika samaki ulikua umekwisha ivaView attachment 3513030
You can try it,. Na uenjoy mwenywe au na familia yako😍
Oyaaa mwachii...@Mwachiluwi...ikikupendeza embu jibu ili pishii nikuaminieee 😊😆Hi guys,.hope mko poa

Unga ukikata ni mwendo wa kulamba tomato sauceLee huu unga utatoboa kwenye lockdown?View attachment 3513050
Ajali kazn naona ulisahau kulog outDuh 😩
Kila mtu ni bora hatushindani kakaOyaaa mwachii...@Mwachiluwi...ikikupendeza embu jibu ili pishii nikuaminieee 😊😆
Ajali kazn naona ulisahau kulog out