Tupike wali samaki

Tupike wali samaki

Wewe jamaa sijaina akili mbovu Jf na mitandao yote Duniani kukuzidi wewe cheki avatar ya kiMangoto na jina la Kipimbi . 🤣🤣

Ushaingia kwenye mfumo nilitaka ufike stage hii ya uchizi dah haaa!! Ghayo de Mabange mwisho wako umekuwa wa kiwaki Saba umeisha kishamba mno
 
Asante sana .

Nikiwaza kuandamana ila baada ya kutazama ili pishi nimeghairi , siwezi kufa kizembe kuacha wali kama huo na rosti la nguvu kwa hakika nitajuta sana.
 
Mkuu,

Unaonaje Leo kikapikwa hiki cha mtume cha kutosha ili tule tushibe alafu kesho kibakie kiporo,asubuhi tukigonge kisha tuingie mzigoni kuandamana tukiwa tumeshiba?
Siwezi kuingia mzigoni nikafa kizembe Kisha niache vitu kama hivyo kimasihara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom