Tupike simple and light breakfast

Tupike simple and light breakfast

nzuri, ila sukari nyingi sana, anza kupunguza hadi iwe kidunchu au hakuna kabisa kujali Afya yako.
ndizi ni tamu ina sukari pia.... hata kama hma na cha sukari anza dear
 
nzuri, ila sukari nyingi sana, anza kupunguza hadi iwe kidunchu au hakuna kabisa kujali Afya yako.
ndizi ni tamu ina sukari pia.... hata kama hma na cha sukari anza dear
Asante Mamie,. Nitazingatia
 
Hello 👋,.
Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,..

Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari

Kwenye kikombe chako kisafi utaanza kuweka sukari kijiko kimojaView attachment 3443948

Utafatia na kahawa nusu au robo kijiko,. Mie nliweka robo kijiko cha chakulaView attachment 3443959

Then utaweka maziwa ya Unga vijiko viwili au vitatu kulingana na wewe unavyopendelea,. Mie nliweka vitatu View attachment 3443963

Baada ya hapo utamiminia maji yako ambayo ulishachemsha kama hiviView attachment 3443968

Make sure umekoroga vizuri kabisaa maziwa yasijiweke mabongebonge View attachment 3443973

Then chukua ndizi yako mbivu imenye vizuri unakunywa na chai kama hivi,. Very simple huwashi hata jiko yaaniView attachment 3443975

Sema hii ndizi bhana😌,,. Anyway nilienjoy breakfast yanguView attachment 3443980
Du. Mchanganyiko ambao sijawahi ona. Ndizi mbivu na kahawa? Nitakunywa kahawa kwanza na eg biscut au cake halafu ndizi baada ya kahawa.
 
Back
Top Bottom