Naaam madam,,Jamani wewe 😬☹️
Kunywa chai ya majani tu ina toshaNitajaribu Kesho,. Sema nazitoa wapi hizo karafuu sijui nini nini na Niko maporini huku☹️☹️
Kale makandeMwalimu wa mapishi leo jikoni kuna nini baada ya pishi hili.
Tatizo hilo , unajua insulini ikichoka kubadili hiyo sukari ili ikatumike kufanya kazi utaanza na maradhiNtajitahidi,. Ila napenda Sana sukari😂😂
Tena tumia hata asali achana na sukariFor real,. Natakiwa nipunguze aisee
Likipumzika ni kutokula asubuhii,, sasa linaenda kufakamia, pilau kachumbariSiku moja moja lipumzishe hilo tumbo basi
Sisi wanywa bia huu ushauri hautuhusu🤔????Tena tumia hata asali achana na sukari
Nikonde kwanini jamani?Wewe Leejay49 utakufa wewe… Mwachiluwi ebu mpikie huyu asije konda zaidi
Upo safe lakini not safer pombe inaharibu ini✅Sisi wanywa bia huu ushauri hautuhusu🤔????
Hivi ni Mimi tu ndio sijauelewa huu uzi?Chai na ndizi mbivu 🙌🙌
Halafu kuna watu wanasema ati hakuna jipya chini ya jua!
Yaani ule ivo hafu ndio basi hadi lunch? Mi ata kutembea sitaweza,Nikonde kwanini jamani?