min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,436
- 127,781
Sawa bwasheeUpo safe lakini not safer pombe inaharibu ini✅
Sawa bwasheeUpo safe lakini not safer pombe inaharibu ini✅
Na wengine wajifunze au sio ✅Hii nimeipenda
Hapo tunaenda sawaSawa bwashee
Mm nachukia ndiziHello 👋,.
Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,..
Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari
Kwenye kikombe chako kisafi utaanza kuweka sukari kijiko kimojaView attachment 3443948
Utafatia na kahawa nusu au robo kijiko,. Mie nliweka robo kijiko cha chakulaView attachment 3443959
Then utaweka maziwa ya Unga vijiko viwili au vitatu kulingana na wewe unavyopendelea,. Mie nliweka vitatu View attachment 3443963
Baada ya hapo utamiminia maji yako ambayo ulishachemsha kama hiviView attachment 3443968
Make sure umekoroga vizuri kabisaa maziwa yasijiweke mabongebonge View attachment 3443973
Then chukua ndizi yako mbivu imenye vizuri unakunywa na chai kama hivi,. Very simple huwashi hata jiko yaaniView attachment 3443975
Sema hii ndizi bhana😌,,. Anyway nilienjoy breakfast yanguView attachment 3443980
Kumbe hiyo ndio lunch?Yaani ule ivo hafu ndio basi hadi lunch? Mi ata kutembea sitaweza,
Karanga ndio kitu sijawahi kuzielewa aisee,.Hicho kinywaji/maziwa sawa, ndizi hapana kwa kweli , ungeweka hata karanga za kukaanga !
Hongera mwana dada, make sure Mwachiluwi hapiti bila kutia neno 😊
Hivi ni Mimi tu ndio sijauelewa huu uzi?
Coz mimi nimeona amepika Coffee (Kahawa)
Ngoja niusome tena uzi.
😀😀
Hiki ni chakula gani ambacho nataka kufananisha na chips mayai?Haya mda wa lunch ushafika,. Karibuni 😛View attachment 3444044
Sawa bwashee sisi tukifa tukiwaacha duniani mkumbuke kufunga madirisha.Hapo tunaenda sawa
Uyu ana masihara sana. 😬😬 Hafu utakuta ndizi mbili tu kala.Kumbe hiyo ndio lunch?
Mimi nilifikiri anakula huo mlo ili tu kusubiri mpaka chakula chenyewe kiive.
😀
Kwahiyo mwenzetu leo akafanya Ndizi ndio kitafunwa?Chai yangu huwa naandaa kama hivyo...naiitaga chai sio coffee(mazoea)
Hapan hapan kwakweliOoh pole jamani,.
Hata Kwa wali?
Ni wewe tu na ugeni wako wa vitu, chai ni kifungua kinywa kupasha mwili joto na kuukunjua utumbo na akaweka na ndizi kama tunda safi kabisa sasa ajabu ni nini,ulitegemea vitumbua sio lazima choice nzuri kiafya aliyoichaguaChai na ndizi mbivu 🙌🙌
Halafu kuna watu wanasema ati hakuna jipya chini ya jua!
Utakufa ujue mama. Pizza 🍕 ni bites bwana sio chakula.Haya mda wa lunch ushafika,. Karibuni 😛View attachment 3444044