Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,971
Dah🤣🤣🤣🤣 hutakufa utaishi mileleSawa bwashee sisi tukifa tukiwaacha duniani mkumbuke kufunga madirisha.
Dah🤣🤣🤣🤣 hutakufa utaishi mileleSawa bwashee sisi tukifa tukiwaacha duniani mkumbuke kufunga madirisha.
Uzungu bwashee watoto wa kishua utawaweza , hapo mimi nafuta mkungu wa ndizi na sado ya mbege yeye anakula ndizi moja na chai😅Kwahiyo mwenzetu leo akafanya Ndizi ndio kitafunwa?
😀 😀
Ndio na mimi nimecomment kuhusu hii Lunch,nikajua unapotezea muda mpaka lunch yenyewe hasa iive.Dah 😂 😂,. Hiyo ilikua breakfast
Lunch mbona nmetoka kuwakaribisha huko comments za juu View attachment 3444052
Sasa hapo piga na ugali. Pizza inakua kama mboga.Ni chicken pizza 🍕 mkuu
Dah 😂 😂,. Hiyo ilikua breakfast
Lunch mbona nmetoka kuwakaribisha huko comments za juu View attachment 3444052
Bwashee,hicho anachokula,mimi ningekua nakilia njiani huku natembea wakati nikifuata Dukani kilo 2 za mchele na maharage nusu kilo na Soda kubwa.Uzungu bwashee watoto wa kishua utawaweza , hapo mimi nafuta mkungu wa ndizi na sado ya mbege yeye anakula ndizi moja na chai😅
Watoto wa kishua mna mambo yenu spesheli😅Mamaaa😂😬😬
Ht kwenye mboga nzuri saaana ,,,, ! Mm nimetokea mikoa yenye ndz kwa hiyo ukubwan sizifagilii kabisa, bora za kupika sio mbivuKatanga ndio kitu sijawahi kuzielewa aisee,.
Labda zikipikwa kwenye mboga
Exactly 💯Ni nzuri kumbe?
Umeandika as if nimepingana na mleta madaNi wewe tu na ugeni wako wa vitu, chai ni kifungua kinywa kupasha mwili joto na kuukunjua utumbo na akaweka na ndizi kama tunda safi kabisa sasa ajabu ni nini,ulitegemea vitumbua sio lazima choice nzuri kiafya aliyoichagua
Ngoja uwe na tumbo kama mfukoHamna buana,. Ni Leo Tu
Mie nakulaga kama kifukusi,. Sio wali ugali au chochote Mie nakulaga Tu😬
Bwashee sisi waponda Kokoto tukila hivyo lazima tuzimie.Watoto wa kishua mna mambo yenu spesheli😅