Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,077 Reaction score 102,605 May 4, 2026 #41 Toa iyo Milinda weka pepsi. Nje ya Mada: Wewe na Mwachiluwi anzisheni channel ya mapishi. YT au IG.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,977 Reaction score 67,598 May 5, 2026 #42 Mad Max said: Toa iyo Milinda weka pepsi. Nje ya Mada: Wewe na Mwachiluwi anzisheni channel ya mapishi. YT au IG. Click to expand... Ngoja tutafute mtaji
Mad Max said: Toa iyo Milinda weka pepsi. Nje ya Mada: Wewe na Mwachiluwi anzisheni channel ya mapishi. YT au IG. Click to expand... Ngoja tutafute mtaji
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,736 Reaction score 62,720 May 5, 2026 Thread starter #43 Mad Max said: Toa iyo Milinda weka pepsi. Nje ya Mada: Wewe na Mwachiluwi anzisheni channel ya mapishi. YT au IG. Click to expand... Sawa sawa
Mad Max said: Toa iyo Milinda weka pepsi. Nje ya Mada: Wewe na Mwachiluwi anzisheni channel ya mapishi. YT au IG. Click to expand... Sawa sawa
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,736 Reaction score 62,720 May 5, 2026 Thread starter #44 chai ya rangi said: Lee kama wewe ulikua unapika ulipata wapi muda wa kupiga pichabhatua kwa hatua, kweli au ni hao wenzako ndo walikua wanapika Click to expand... Nope unakaa na simu pembeni,. Kila ukiweka kitu unapiga tu picha then unaendelea Sio kazi hata
chai ya rangi said: Lee kama wewe ulikua unapika ulipata wapi muda wa kupiga pichabhatua kwa hatua, kweli au ni hao wenzako ndo walikua wanapika Click to expand... Nope unakaa na simu pembeni,. Kila ukiweka kitu unapiga tu picha then unaendelea Sio kazi hata
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 3,683 Reaction score 8,974 May 5, 2026 #45 min -me said: Mhmm wali hapana asee, siku ukipika ndizi na nyama nyingi nikaribishe Click to expand... Pombe na wali wapi na wapi! Pombe oyeeee
min -me said: Mhmm wali hapana asee, siku ukipika ndizi na nyama nyingi nikaribishe Click to expand... Pombe na wali wapi na wapi! Pombe oyeeee
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,538 Reaction score 76,495 May 27, 2026 #46 Mkuu Weka Mawasiliano Basi
Excel VBA JF-Expert Member Joined Oct 27, 2025 Posts 910 Reaction score 2,076 Jun 4, 2026 #47 Kwa sisi wa vijijini, pilau ni mpaka viazi na nyama? Je kuna pilau aina gani? Kuhusu wali na penda wali mweupe wenye ladha na harufu ya kutoa nyoka pangoni, upikaji sasa ni aibu! Kwako Leejay49
Kwa sisi wa vijijini, pilau ni mpaka viazi na nyama? Je kuna pilau aina gani? Kuhusu wali na penda wali mweupe wenye ladha na harufu ya kutoa nyoka pangoni, upikaji sasa ni aibu! Kwako Leejay49