😂😂😂daah nililewa sana siku Ile mtafute mwengine sasa au unamtaka huyu huyuNdio kwanini hukufisha salamu
🤣🤣🤣 inategemea lakini kama huyu ni 'wakufanana nae' kama mimi na Marry atampata tu.Ahahha mna weza ninyi dosh hatoboi
Hahaha hatari sanaSi hao wanaodhani upo nao kwenye mahusiano kumbe we ni shemu wetu sisi tushakuwahi 😂😂😂
Dah sawa itakuwa nime chomeshwa mahindiNdiyo nazisikia hapa kutoka kwako
Nakomaa na uyo uyo😂😂😂daah nililewa sana siku Ile mtafute mwengine sasa au unamtaka huyu huyu
Muulize vizuri ulomtumaDah sawa itakuwa nime chomeshwa mahindi
😂😂 kwa kuchelewa sana🤣🤣🤣 inategemea lakini kama huyu ni 'wakufanana nae' kama mimi na Marry atampata tu.
Huyu naogopa nitakusaliti 😂😂😂Nakomaa na uyo uyo
KakataaMuulize vizuri ulomtuma
Nitakupiga nikuulie bahariniHuyu naogopa nitakusaliti 😂😂😂
😂😂😂Alinituma ndiyo ila nililewa kwahiyo sura yake nilidhani ni dosho12 ...mniwie radhi 😂😂😂Muulize vizuri ulomtuma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nishakuwa kindege posta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Umejionea mwenyewe 😅Kakataa
Usiniue we nipige tu unitupe baharini na pilau la Nazi 😂😂😂Nitakupiga nikuulie baharini
Ndio ila si nimesema nowUmejionea mwenyewe 😅
Hapana nisipo kuua bado utanisumbua aseeUsiniue we nipige tu unitupe baharini na pilau la Nazi 😂😂😂
Nyote mko serious na tumbo, ni vile mnatofautiana nyenzo za kulihudumia.Safi sana bwashee upo serious na tumbo sana , kongole kwako.
Shenz type 😂😂😂 nitakupig nikuueNyote mko serious na tumbo, ni vile mnatofautiana nyenzo za kulihudumia.
Wewe unatumia kimiminika yeye anatumia yabisi.