Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #201
Karibu now mda wa nyama chomaLeo mda wote nipo home master
Karibu now mda wa nyama chomaLeo mda wote nipo home master
Kalala kashibaWapi Madame B ?
Ulikosea wapMi nilijaribu kupika pilau mwaka fulani - nilipoweka maji tu mara moja, mchele ukageuka lotion, nyama ikabaki ngumu kama hasira za ex.
Nafikiri maji mkuu - nilianguka nayo.Ulikosea wap
Una kadilia tuNafikiri maji mkuu - nilianguka nayo.
Tatizo huwa sielewi kiasi cha maji kwa mchele mfano labda mchele kg1 utahitaji maji lita ngapi?
Nausave huu uzi next time nitamsuprise shemeji yako.Una kadilia tu
Saf kabisaNausave huu uzi - next time ntamsuprise shemeji yako.
Madrid ana niua aseeMwamba unatisha sanaa
Kongolezo😂😂😂 nime cheka sana
Maana yakeKongolezo
Kongole- pongeziMaana yake
Una dumisha lugha vzrKongole- pongezi
Kongolezo - pongezi kwako/ pongezi zako
Wewe kuoa sahauMwakata! Ughonile! Twambombo
Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi
Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu
View attachment 3399622
Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili viuongo viive vzr
View attachment 3399623
Baada ya hapo nika chukua hoho na karoti nika weka kisha nika weka nyanya
View attachment 3399625
Baada ya muda nika weka mchele uchanganyike vzr
View attachment 3399628
Hapa nikawa naji semesha sufuria dogo ila nikawa nakaza fuvu uku naendelea kuchanganya mchele na viungo
Baada ya hapo nikachukua tui ambalo lina uvugu vugu halija chemka lina uvugu vugu na ni tui la pili nika weka
Baada ya kuweka tui ndio nikaona ni vyema kuchange sufuria nikafanya. Ivyo na kuacha maji yakakamie kidogo kisha nika chukua tui lile la kwanza na kuli tia ilia mambo yawe bam bam
View attachment 3399634
Baada ya muda chakula kimeiva kipo vizuri kama nilitamani kitoke
View attachment 3399637
Nipo tayari kutukanwa na wan jf kama kawaida
min -me kitalembwa mbwangali Evelyn Salt @Hamfull
Babe babe Mwachi😘Mimi nina wangu bhna nipoa ana kula pilau now financial services
Miss u mdada mrembooBabe babe Mwachi😘
Nakuletea kadiWewe kuoa sahau
Kijana Masikini Toka mpate Mary D katusahau ndugu zake 😅😅Kijana Masikini upo man