mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,986
- 5,161
Kwakweli sio tu kusikia Bali hata Kula sijawah, ntajaribu kupika ila sasa hapo kwenye Nazi hizi za dukani zinafaa?Tembea acha kukaa ndani mda mwingi
Kwakweli sio tu kusikia Bali hata Kula sijawah, ntajaribu kupika ila sasa hapo kwenye Nazi hizi za dukani zinafaa?Tembea acha kukaa ndani mda mwingi
Zina faa ila za kukuna inapendez zaidKwakweli sio tu kusikia Bali hata Kula sijawah, ntajaribu kupika ila sasa hapo kwenye Nazi hizi za dukani zinafaa?
Hapo ndani panakalika basi mdogo wangu ukiwa na njaa! ni kupuyanga tu kitaa kusaka chochote kituTembea acha kukaa ndani mda mwingi
Dah hapo kwenye kukuna sasa inabidi nisumbue watuZina faa ila za kukuna inapendez zaid
Unakosea sasa kaka mkubwa tuliza akiliHapo ndani panakalika basi mdogo wangu ukiwa na njaa! ni kupuyanga tu kitaa kusaka chochote kitu
Huna budiDah hapo kwenye kukuna sasa inabidi nisumbue watu
Dogo nikikaa ndani watoto watakula kokoto ninazoponda Baba Yao 😀😀lazime nipuyange ili wale mkate sio kokotoUnakosea sasa kaka mkubwa tuliza akili
Kweli kabisaDogo nikikaa ndani watoto watakula kokoto ninazoponda Baba Yao 😀😀lazime nipuyange ili wale mkate sio kokoto
Nitie aibu mara ngapi? 😹😹😹Unazingua sana mbona wenzio wana jua kupika utatutia aibu kwa shemeji wew
Ata chakula cha mbwa kigumu kwako hapanaaaaa 🙌🙌Nitie aibu mara ngapi? 😹😹😹
Mwenyewe kashanizoea cute wake kupika sijui ananifundisha yeye ni mpishi mzuri..!!
Kuna siku nilibaki peke yangu home nikapikia mbwa hawakula chakula kibichi..!! 😹😹😹🤣🤣
Kwenye lugha ya Kiswahili hamna neno "uku" bali Kuna neno "huku"Mwakata! Ughonile! Twambombo
Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi
Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu
View attachment 3399622
Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili viuongo viive vzr
View attachment 3399623
Baada ya hapo nika chukua hoho na karoti nika weka kisha nika weka nyanya
View attachment 3399625
Baada ya muda nika weka mchele uchanganyike vzr
View attachment 3399628
Hapa nikawa naji semesha sufuria dogo ila nikawa nakaza fuvu uku naendelea kuchanganya mchele na viungo
Baada ya hapo nikachukua tui ambalo lina uvugu vugu halija chemka lina uvugu vugu na ni tui la pili nika weka
Baada ya kuweka tui ndio nikaona ni vyema kuchange sufuria nikafanya. Ivyo na kuacha maji yakakamie kidogo kisha nika chukua tui lile la kwanza na kuli tia ilia mambo yawe bam bam
View attachment 3399634
Baada ya muda chakula kimeiva kipo vizuri kama nilitamani kitoke
View attachment 3399637
Nipo tayari kutukanwa na wan jf kama kawaida
min -me kitalembwa mbwangali Evelyn Salt @Hamfull
Si ungewatisha tu na sauti yako ya kibabe chap wangekula😀😀 just kiddingNitie aibu mara ngapi? 😹😹😹
Mwenyewe kashanizoea cute wake kupika sijui ananifundisha yeye ni mpishi mzuri..!!
Kuna siku nilibaki peke yangu home nikapikia mbwa hawakula chakula kibichi..!! 😹😹😹🤣🤣
UsijaliKwenye lugha ya Kiswahili hamna neno "uku" bali Kuna neno "huku"
Sa nifanyeje 😹😹😹Ata chakula cha mbwa kigumu kwako hapanaaaaa 🙌🙌
😂😂 hapana cute nikirud dar nitakufundisha pole pole mpaka uwezeSa nifanyeje 😹😹😹
Ile siku mbwa walikua wakali, niliwafungulia walinikimbiza walisahau km mi rafiki yao..!!
Wezi wangejimix ile siku wangepoteana, nilimpigia simu ex wangu aje ili wamng’ate bahati yake mizimu ya kwao ilikua pamoja naye alisafiri..!! 😹😹🤣🤣
German shepherd wanatishwa na sauti? 😹😹😹Si ungewatisha tu na sauti yako ya kibabe chap wangekula😀😀 just kidding
Najali. Kiswahili ni lugha adhimu, iheshimiwe na watu wote. Usipokienzi Kiswahili, na mimi sitolienzi pishi lakoUsijali
😂😂😂 nime cheka sanaNajali. Kiswahili ni lugha adhimu, iheshimiwe na watu wote. Usipokienzi Kiswahili, na mimi sitolienzi pishi lako
Leo mda wote nipo home masterUkitoka uko pita home