Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Huh! Kwahiyo bora ule makande tu!!Silagi pilau lililopikwa na huyo ndugu mpishi
Huh! Kwahiyo bora ule makande tu!!Silagi pilau lililopikwa na huyo ndugu mpishi
Achana nae huyo lengo lake ni kutuharibia uzi report kwa moderator wamtembeleeBro heshima kitu cha bure hakuna asie jua mimi ni mwanaume jaribuni basi kupunguza kauli mbaya sio lazima kuqoute
Nilishapika mbonaSiku ukipika kashata za nazi naomba nialike au uziagize hata kwenye basi tuuu jamani.....nasubiri kwa hamu hilo pishi
Asante sana broUtamu wa pilau nyama ziwe nyingi, pongezi kwako Mwachiluwi
Bora nile makande ya kihainiHuh! Kwahiyo bora ule makande tu!!
Sema kweliiBora nile makande ya kihaini
Naomba nitag kwenye post yakeNilishapika mbona