Tupike pilau la kuku na njegere

Tupike pilau la kuku na njegere

Dah! Inategemea hiyo siku nimeamkaje na utu uzima huu muda mwingine napika chakula kibichi
Ahahah nakumbuka mama yangu sikukuu mki mkasirisha tu ana acha kupika pilau kabisaaa mna kula ugali 🤣
 
Pilau lina rangi nzuri na linaonekana tamu balaa. Hapo ndizi mbivu na kachumbari iliyokolea ndimu na pilipili halafu liliwe na mkono😋😋😋
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom