Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #41
Ahahah leo ujaja na majungu mzee wa majungu š¤£Watu kazini....mwendo wa pilau kuku
Ahahah leo ujaja na majungu mzee wa majungu š¤£Watu kazini....mwendo wa pilau kuku
Ndio si kasema ana taka kuni ajiriAngalau ustopishe udumavu.
Huyu jamaa anatutisha šNaona unatumia moto wa jehanam kupikia.
Muhimu chakula kiive bhnaHuyu jamaa anatutisha š
Sijui mkaa wa mkuyu.
Nachomekea utani tu mkuu.Muhimu chakula kiive bhna
I know šNachomekea utani tu mkuu.
š¤š¤I know š
Yule anachoweza ni kugida mipombe ya bei ghali tu!Golie Mpaji Mungu Vipi Mke wetu anayaweza au ?
Una nunulishwa brutal na usemiYule anachoweza ni kugida mipombe ya bei ghali tu!
Bora huyu kuliko binamu yako aliyepiga watu risasi za kichwaUna nunulishwa brutal na usemi
Yule alikuwa na kazi ya kuandikisha watu walio kamatwa tu ndio maana ume mkataa sioBora huyu kuliko binamu yako aliyepiga watu risasi za kichwa
Iringa mkimbiziToa lokeshini nije na ndizi na pilipili kwenye mfuko wa kanzu.....
Simtaki kabisaYule alikuwa na kazi ya kuandikisha watu walio kamatwa tu ndio maana ume mkataa sio
Basi ana acha kazi una jua umri una enda uleeSimtaki kabisa
AKitaka tukale kiapo bas lazima tukatambike tuondoe laaana zote alizojiokotea huko kaziniBasi ana acha kazi una jua umri una enda ulee
Mizimu yenu mikali sana ita mkataa najua tuAKitaka tukale kiapo bas lazima tukatambike tuondoe laaana zote alizojiokotea huko kazini
Afadhali akuajiri tu.Ndio si kasema ana taka kuni ajiri
Silagi pilau lililopikwa na huyo ndugu mpishiHalf american njoo tule pilau angalau tumbo leo lisijute, maana unakula makande hadi sio poa.