Tupike maini na matembele

Najua kupika ila napika kukiwa na washikaji wamekuja so morng napika chapati au half keki
Nakumbuka likizo ya Form4 nlikua nafundishwa kukanda na kusukuma chapati kwa vibao ( kichapo ) hadi nikaweza nikawa nazipika zinakua laini vizuri tu,. Sikuizi sijui imekuwaje kila nikijaribu lazima zitoke kaukau
 
Uliacha kupika mda mrefu so now lazima upike mara kwa mara utarudi kwenye ubora
 
Kuna vyakula aina nyingi kwelikweli ila akili yangu inagota kwenye vichache kweli aisee.

Nikiingia mitandaoni ndio napata idea na kukumbuka home bi mdashi alivyokua anajua kupika vimbongmboga.
 
Bonge la Msosi.safi kabisa hapa nimepata kitu.kumbe maini humenywa lile ganda lililo kama karatasi hiv
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…