kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,434
Tangu raisi magufuli aingie madarakani amefanya mengi mazuri na mengine hayakufurahisha watu labda tuseme wewe lipi limekufurahisha na lipi halikukufuraisha tupate kujua ndani ya miezi 9 tisa hii.
1.kuzuia safari za nje
2.kumteua tulia kuwa mbunge
3.kufuta sherehe za muungano
4.elimu bure
5.kumuondoa sefue
6.kumtea wazir mkuu kasimu majaliwa.
7.kumrudisha muhongo kwenye baraza la mawaziri
8.kutokwenda ulaya
9.kurudisha nidhamu serikalini na kwenye ofisi za umma
10.kuongezeka kwa ukusanyaji kodi
11.kuunda mahakama ya mafisadi
12.style ya kutumbua majipu
13.kuzuia mikusanyiko ya kisiasa nchi nzima
14.kukaa kimya bila kuujibu upinzani
15.kuacha suala la zanzibar walimalize wenyewe
16.suala la sukari
17.wanafunzi udom
18.kwenda kutembelea viongozi wa staafu na wa kisiasa hospital
19.kuwalinda viongozi wastaafu
20.kuvaa kombati
21.kuchukua pesa za sherehe za bunge
22.kula kwa mama ntilie mwanza
23.kufanya ikulu mahali si pahala pa
mchezo hata ukiwa na singo moja unaingia.
24.kutunyoosha sisi tusiokuwa na shughuli maalumu
25.kuzuia wacheza pool asubuhi
26.kutoa tamko uchaguzi wa meya ufanyike.
Yapo mengi lakini leo tupigie kura haya tuona raisi anaridhisha au haridhishi wengi
Nawasilisha.