Tupia neno kwenye hii picha

Tupia neno kwenye hii picha

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,327
242f5c268e0b17e01426a3d39a530767.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mbona kama muoga hivi, ashike kiuno hapo
 
Mnawadanganya dada zetu siku izi wanaanza kuamini matako yao ndio yataleta UGALI, wengi hata wamefikia hatua ya kuvaa magodoro_matokeo yake wanavurugwa na kubaki wakivaa nepi.
 
Huyo jamaa amenikumbusha nipo shule miaka hiyo, nampenda binti ila domo zege, siku ya talent show skuli muda wa muziki nikabembeleza kucheza naye, akakubali ila wimbo mmoja tu.

Ebwana nilisusiwa kiuno kama hivyo halafu nikawa nimeganda kama huyo mshkaji.

Wimbo ulikua Temperature wa Sean Paul.
 
Back
Top Bottom