Tupia neno kwenye hii picha

Tupia neno kwenye hii picha

242f5c268e0b17e01426a3d39a530767.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bi dada mbona anafanana na yule wa bungeni ambaye vyama vya upinzani hawapendi hata kumsikia[emoji85]
 
Jamaa haamini zigo lote anapewa yy mpaka 0713......

Mpe anae kupa
 
Pipi hailiwi katika mfuko wake

fail to plan = plan to fail.
 
Back
Top Bottom