Tupia neno kwenye facial expression ya Ekelege!!

Tupia neno kwenye facial expression ya Ekelege!!


Hili jamaa jizi sana, hata huruma halina!!! Kweli kabisa huko japan, Hong Kong hakuna wakaguzi wa magaria na unalidanganya taifa mchana kweupe kama watanzania wamekuwa wa hovyo kiasi hicho. Huyu achomwe moto!!
 
Mbona kapiga pozi la avatar ya great thinker fulani wa kike?
 
Inaonekana hapo lilikuwa limebanwa sana na maswali!!
 
Hawa watanzania wameshtukaje this time!Kudadadeki!Wananichinja sasa hivi!
 
anafikiria ni jinsi gani atamtimba nyalandu:high5: :-* :rockon:
 
Back
Top Bottom