OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,289
- 104,128
Game iliisha kwa kipigo kikali. Leo mji uko kimya huku Simba hata haturingi ni easy tu.
BM33 akisepa katikati ya kipigo
Analia kutokuteuliwa?
Huyu jamaa hana nidhamu kabisa; timu yoyote itakayomchukua itaula wa chuya tu, huenda ndiyo maana amekuwa anahamahama kila mara. Niyonzima ndiye mchezaji wa nje ambaye amekuwa anaonyesha nidhamu sana; hata Okwi naye nidhamu yake ilikuwa ya mashaka sana.
aka Ndevu za karantin
Nyonzima ana nidhamu gani kubishana na refa bila sababu ya msingi, kuchelewa kuripoti kambini hivi unasahau Okwi alivyomfokea kwenye mechi alivyopata kadi kipumbavuHuyu jamaa hana nidhamu kabisa; timu yoyote itakayomchukua itaula wa chuya tu, huenda ndiyo maana amekuwa anahamahama kila mara. Niyonzima ndiye mchezaji wa nje ambaye amekuwa anaonyesha nidhamu sana; hata Okwi naye nidhamu yake ilikuwa ya mashaka sana.
Sikujua kuwa siku hizi naye amepata kiburi lakini alikuwa na nidhamu sana mwanzoni.Nyonzima ana nidhamu gani kubishana na refa bila sababu ya msingi, kuchelewa kuripoti kambini hivi unasahau Okwi alivyomfokea kwenye mechi alivyopata kadi kipumbavu
Rejea toka yuko yanga kabla ya kuja simba kuna kipindi yanga walitaka kumpiga faini kubwa sababu ya usumbufu mpaka akaomba msamaha simba msimu wa kwanza hakucheza. Kipindi kirefu sababu hizohizoSikujua kuwa siku hizi naye amepata kiburi lakini alikuwa na nidhamu sana mwanzoni.
Kwani mechi c ilikua nyumbani na ugenini mbona umeleta matokeo ya upande mmoja?Wawa kilishi wetu tunaomba mtuwakilishe vizuri.View attachment 1505657View attachment 1505658
Hawa jamaa hawaendi popote kwanza bado kuna corona, na hata wakishiriki ni round ya kwanza chali wanarudi kupambana na wakina kagera sugar na yangaWawa kilishi wetu tunaomba mtuwakilishe vizuri.View attachment 1505657View attachment 1505658
Angalau ya Mazembe tumelipa kwa Deportivo La UtopoloWawa kilishi wetu tunaomba mtuwakilishe vizuri.View attachment 1505657View attachment 1505658