Tupia clips na picha za mishemishe baada ya Derby Simba vs Yanga

2454434_img_2_1594582171454.jpg
 
Huyu jamaa hana nidhamu kabisa; timu yoyote itakayomchukua itaula wa chuya tu, huenda ndiyo maana amekuwa anahamahama kila mara. Niyonzima ndiye mchezaji wa nje ambaye amekuwa anaonyesha nidhamu sana; hata Okwi naye nidhamu yake ilikuwa ya mashaka sana.
Nyonzima ana nidhamu gani kubishana na refa bila sababu ya msingi, kuchelewa kuripoti kambini hivi unasahau Okwi alivyomfokea kwenye mechi alivyopata kadi kipumbavu
 
Nyonzima ana nidhamu gani kubishana na refa bila sababu ya msingi, kuchelewa kuripoti kambini hivi unasahau Okwi alivyomfokea kwenye mechi alivyopata kadi kipumbavu
Sikujua kuwa siku hizi naye amepata kiburi lakini alikuwa na nidhamu sana mwanzoni.
 
Sikujua kuwa siku hizi naye amepata kiburi lakini alikuwa na nidhamu sana mwanzoni.
Rejea toka yuko yanga kabla ya kuja simba kuna kipindi yanga walitaka kumpiga faini kubwa sababu ya usumbufu mpaka akaomba msamaha simba msimu wa kwanza hakucheza. Kipindi kirefu sababu hizohizo
 
Back
Top Bottom