Tupendane hadi ufisadi utakapotutenganisha


A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,504
Likes
35
Points
145
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,504 35 145
yes, i said.

ndo natia timu sasa, JF mpoooooooooooo,................makofi tafadhari
nmekuja na mathoughts kibao, magreat thinkers wajiandae

haya bana. naitwa akili mu kichwa au akili kwa kichwa au akili mwenye kichwa, au ...................... formally akili kichwani.

tuko pamoja wakuu hadi lyamba!!!!!!!!!
 
klorokwini

klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
8,707
Likes
54
Points
135
klorokwini

klorokwini

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
8,707 54 135
yes, i said.

ndo natia timu sasa, JF mpoooooooooooo,................makofi tafadhari
nmekuja na mathoughts kibao, magreat thinkers wajiandae

haya bana. naitwa akili mu kichwa au akili kwa kichwa au akili mwenye kichwa, au ...................... formally akili kichwani.

tuko pamoja wakuu hadi lyamba!!!!!!!!!
karib sana! hii jf ina ediksheni kuliko zambi ya zinaa! jitahidi sana kugawa muda azawaizi unaweza ukajikuta na wewe unakuwa fisadi wa familia yako kwa kukaa muda mwingi jf kuliko kuhudumia chidrenz na taifa.
welkom sana naitwa klorokwini kijijini wananiita bekham.
 
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,504
Likes
35
Points
145
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,504 35 145
karib sana! hii jf ina ediksheni kuliko zambi ya zinaa! jitahidi sana kugawa muda azawaizi unaweza ukajikuta na wewe unakuwa fisadi wa familia yako kwa kukaa muda mwingi jf kuliko kuhudumia chidrenz na taifa.
welkom sana naitwa klorokwini kijijini wananiita bekham.
oh, beckam,

thanks mkuu 4 advise, nilidhani ni mchungu kama krolokwini zenyewe, kumbe poa tu. kahawa mnazo hapa si unajua tena maongezi hayaendi bila..................
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
19,914
Likes
10,841
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
19,914 10,841 280
Kribu karibu mgeni jisikie uko nyumbani sebuleni...!
 
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,504
Likes
35
Points
145
A

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,504 35 145
Kribu karibu mgeni jisikie uko nyumbani sebuleni...!
ok thanks mkuu. afadhari umetoa tahadhari manake wengine tunapitilizaga hadi chumbani............ tehetehetehe
 
J

Jalijali Mtzyet

New Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
3
Likes
0
Points
0
J

Jalijali Mtzyet

New Member
Joined Jan 19, 2010
3 0 0
wee kijana tahadhari gani io, ivi wee bado unatongoptongo kiasi hujaona wageni hapa tz [kwa wadanganyika ] akiambiwa karibu chwaa mpaka chumbani ,sebleni kwao mwiko kukaa ;shurti wakakombe upesiupesi vilivyo chumbani alaf wanatia tim chap chap -wenyeji wakishtuka haloo wamesha tokomea uchochoroni na hazina zetu tele,
huo ndio mwanzo wa somo ;tutaskia tume imeundwa kujua hasa nini kilijiri ikitoa ripoti tukaa kijiwe tunacheka jinsi tumeliwaa na kusema ooh wajanja wametuli
za - hapo tutabezana na kusifu ujanja wao kafanikiwa kutuibia-upo kijana wee
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
796
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 796 280
wee kijana tahadhari gani io, ivi wee bado unatongoptongo kiasi hujaona wageni hapa tz [kwa wadanganyika ] akiambiwa karibu chwaa mpaka chumbani ,sebleni kwao mwiko kukaa ;shurti wakakombe upesiupesi vilivyo chumbani alaf wanatia tim chap chap -wenyeji wakishtuka haloo wamesha tokomea uchochoroni na hazina zetu tele,
huo ndio mwanzo wa somo ;tutaskia tume imeundwa kujua hasa nini kilijiri ikitoa ripoti tukaa kijiwe tunacheka jinsi tumeliwaa na kusema ooh wajanja wametuli
za - hapo tutabezana na kusifu ujanja wao kafanikiwa kutuibia-upo kijana wee
naona na wewe mgeni karibu sana
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,351
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,351 280
SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

4. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

5. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

6. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

7. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.


Other Rules to be noted:

1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

2 - Profanity:
Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

3 - Spam:
Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

4 - Email & Private Message Spam:
If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

5 - Piracy, and Warez:
We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy is grounds for an immediate ban.

6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

7 - Off-Topic Posts:
There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

8 - Circumventing a Ban:
If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

9 - Nudity / Porn:
Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

10 - Signatures & Avatars:
We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.

11 - Questionable Content:
Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
__________________
Whoever Knows Everything Is Expert In Nothing
 

Forum statistics

Threads 1,238,335
Members 475,888
Posts 29,316,606