Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

Kuna wadau kila mwaka wanasikilizia ronja toka 2019, najiuliza hawazeeki au ndio wajeda wanavamia kila uzi wa kazi za Militia!
Oyaaah
images (3) (19).jpeg
 
Asalam Aleykum wanajamvi nia na Nlmazumuni ya uzi huu nitupeane updates ya taarifa mbali mbali kuhusu ajira mpya za JWTZ 2026
Kwa namna vijana mnavyopenda kujazana upepo wa kuwapondea hao askari sikutarajia kukutana na huu uzi. Anyway maisha ya mitandao yana maigizo mengi. Unaweza kukuta jombaa inapondea walimu wakati huo huo na yeye anaombea apate kazi ya ualimu.
 
Back
Top Bottom