Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,680
- 3,833
namim bdo nawaza huenda ni vitengo vya usalama wa taifa.Jamaa Awo km wamebebwa kiholela km ivo bas ujuwe ni vitengo awu washaenda kutengezwa
namim bdo nawaza huenda ni vitengo vya usalama wa taifa.Jamaa Awo km wamebebwa kiholela km ivo bas ujuwe ni vitengo awu washaenda kutengezwa
usalama wa taifa wanachukuaga hata mashulen watu smart na kuwapeleka mafunzonVitengo ndio huwa ni kimya kmya kweli
why?Wewe ni empty set
Wakiamua kukunyima watakiweka, lakin sio muhim kihivyoKigezo cha JKT si kilishaondolewa jamani? Mbona wazee wanakiweka tena😳
kwenye tangazo kwanini wakiweke hicho kigezo?!Wakiamua kukunyima watakiweka, lakin sio muhim kihivyo
Ili mpungue, mana kuna watu hawana na watapatakwenye tangazo kwanini wakiweke hicho kigezo?!
hatar sanaIli mpungue, mana kuna watu hawana na watapata
Tafuta mbuyu nchi yetu watu wanafata maelekezo kuliko vigezo hata kikiondolewa pia km huna maelekezo huwezi kupataKigezo cha JKT si kilishaondolewa jamani? Mbona wazee wanakiweka tena😳
yote yabawezekannamim bdo nawaza huenda ni vitengo vya usalama wa taifa.
Leta lonjaVijanaaaaaaa 😂😂😂😂
Angusha nondoVijanaaaaaaa 😂😂😂😂
🙆♀️Tafuta mbuyu nchi yetu watu wanafata maelekezo kuliko vigezo hata kikiondolewa pia km huna maelekezo huwezi kupata
Unaomba kivip tuelekezeHamjajaribu kuomba kwenye vikosi kazi vya Urusi, Ukraine, Gaza, au Iran? Kule kupata kazi ni uhakika.
Huko pia mpk connectionHamjajaribu kuomba kwenye vikosi kazi vya Urusi, Ukraine, Gaza, au Iran? Kule kupata kazi ni uhakika.
Unaomba kivip tuelekeze
Hakuna koneksheni, muhimu uwe tayari kwa lolote, tena wanatakiwa wengi zaidi ili watangulizwe mbele.Huko pia mpk connection