Tupeane taarifa: Ni viwanja gani kuruka majoka mnanishauri niende

Wakuu mara nyingi nimrkuwa nikienda high sprit lounge pale posta ila leo nataka nibadilishe..wapi niende?
Samahani kwa muandiko mbaya nipo kwa daladala mkono mmoja nimeshika bomba
Viwanja inategemea na personal test;
1. Kuna viwanja vinafaa kwa first date, maana vinaruhusu msikilizano mzuri between two, vingine havifai kwa sababu ya kelele mwingiliano etc.

2. Kuna vinavyoruhuru mwingiliano mfano unataka kupata fame' hapo.

3. Kuna vimgine ni purposely kwa ajili ya muziki na other kinds of funny, lkn pia vimegawanyika kulingana na kinds ya music u like; Old skul or new skul etc...

So itategemea wewe unahitaji nini and what is your test, kwangu mm napenda kwenda sehemu kuna music lkn stricky old skul and flash back mfano East 24 the alcade kwa DJ Peter Moe and Nyumbani Lounge kwa Dj John Dillinga. Sehemu nyingine lkn huwa naenjoy but partial!!
 
Wakuu mara nyingi nimrkuwa nikienda high sprit lounge pale posta ila leo nataka nibadilishe..wapi niende?
Samahani kwa muandiko mbaya nipo kwa daladala mkono mmoja nimeshika bomba
Hizo hela za viwanja wekeza ununue japo kavitz namba A.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom