Tupeane taarifa: Ni viwanja gani kuruka majoka mnanishauri niende

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,697
12,762
Wakuu mara nyingi nimrkuwa nikienda high sprit lounge pale posta ila leo nataka nibadilishe..wapi niende?
Samahani kwa muandiko mbaya nipo kwa daladala mkono mmoja nimeshika bomba
 
Hahahaha..sasa mzee unataka kwenda bar/lounge za high classy huku unashika bomba kwenye daladala??!!
Mkuu kwani kuwa na gari ndio kufanikiwa kimaisha?
Ni sawa na jamaa anayenunua mindege kwa mkopo halafu anajisifu kuwa nchi yake ni donor country....maisha ni vipaumbele ulivyojiwekea
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom